Mwanaume uliumbiwa kutoa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nahisi aliyetunga sheria ya Tanzania kwamba Mshahara wa Mwanamke wala kipato chake hakimuhusu Mme wake nina wasiwasi mlisaidiana kuitunga.

Yaani mtu ana mshahara/kipato kukuzidi lakini bado anatakiwa kuhudumiwa na Mume wake, Only in Tanzania πŸ™Œ

Ndiyo maana Wanaume tunakufa mapema πŸ˜ͺ
 
Kufenintu kama wewe sijui kwanini mpaka sasa upo hai
 
Ukiacha kupost post habari za kutusema, na mm nitaacha πŸ˜…πŸ˜…
Au na wewe unataka kuomba kiaina maana sikuelewi kila siku unaongea ilo ilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…