Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Njoo huku Tanganyika tukapimeMmh! Aisee
Ukitoka safi,nitaupa hiyo hela uitakayo na gunia la mchele juu
Njoo nikupeleke ukaoge maji ya ziwa Tanganyika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo huku Tanganyika tukapimeMmh! Aisee
Wao wenyewe hawaelewi 😅😅😅Ndio maana hawajawahi kueleweka hawa viumbe
Acha tu aisee 🤦🤦Ulitakaje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tokea yule mwamba akuombe tigo huko PM, umekuwa na hasira na wanaume wote. [emoji28][emoji28][emoji28]
Namuombea msamaha kwa niaba yake, msamehe sana
Na hawajielewiWao wenyewe hawaelewi 😅😅😅
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu utapeli wenu tulishaustukia kitambo Sana.
Kuna wanawake Wanapenda hela mpaka unajiuliza Kama huyu mtu anapenda hela kiasi hiki si angesema tu kwamba anauza nikaelewa moja kwamba tubabadilishana mbususu kwa pesa?
Ukimwendekeza mwanamke lazima ufe masikini.
Na hawatokaa waelewe kwanza huyo mleta bandiko ana umuri gani? 😅😅 hela tutawapa watoto wa 2000 hao wahenga wajipigie chepuo wenyeweWao wenyewe hawaelewi 😅😅😅
Sema kiukweli sipendi mume ninayempa helaAcha tu aisee 🤦🤦
Si wanamkopa sana, hasira lazima ujue 😂😅😅😅 Tatizo ana hasira sana
Kwahiyo mashangazi ndio mmeona wanafaa kukopwa?Na hawatokaa waelewe kwanza huyo mleta bandiko ana umuri gani? 😅😅 hela tutawapa watoto wa 2000 hao wahenga wajipigie chepuo wenyewe
😂 utapentaa tu hakuna namnaKwahiyo mashangazi ndio mmeona wanafaa kukopwa?
Sijapentaaaa
Kufenintu kama wewe sijui kwanini mpaka sasa upo haiNahisi aliyetunga sheria ya Tanzania kwamba Mshahara wa Mwanamke wala kipato chake hakimuhusu Mme wake nina wasiwasi mlisaidiana kuitunga.
Yaani mtu ana mshahara/kipato kukuzidi lakini bado anatakiwa kuhudumiwa na Mume wake, Only in Tanzania 🙌
Ndiyo maana Wanaume tunakufa mapema 😪
Ukiacha kupost post habari za kutusema, na mm nitaacha 😅😅Basi acha matangazo
Sio kukopwa tu, yawezekana pia anajituma sana kukata viuno, alaf wadau wanasepa 😅😅😅Si wanamkopa sana, hasira lazima ujue 😂
Aki ya nani hao wadau hawaendi mbinguni 😂Sio kukopwa tu, yawezekana pia anajituma sana kukata viuno, alaf wadau wanasepa 😅😅😅