Mwanaume uliumbiwa kutoa

Mwanaume uliumbiwa kutoa

Huu utapeli wenu tulishaustukia kitambo Sana.

Kuna wanawake Wanapenda hela mpaka unajiuliza Kama huyu mtu anapenda hela kiasi hiki si angesema tu kwamba anauza nikaelewa moja kwamba tubabadilishana mbususu kwa pesa?

Ukimwendekeza mwanamke lazima ufe masikini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nahisi aliyetunga sheria ya Tanzania kwamba Mshahara wa Mwanamke wala kipato chake hakimuhusu Mme wake nina wasiwasi mlisaidiana kuitunga.

Yaani mtu ana mshahara/kipato kukuzidi lakini bado anatakiwa kuhudumiwa na Mume wake, Only in Tanzania 🙌

Ndiyo maana Wanaume tunakufa mapema 😪
 
Kufenintu kama wewe sijui kwanini mpaka sasa upo hai
 
Back
Top Bottom