Mwanaume uliumbiwa kutoa

Mwanaume uliumbiwa kutoa

Yes,ndio mapigo yetu tuliyopewa Tena tumepewa na hedhi Kwa mwezi sio kazi rahisi ni ngumu ,kama zenu mliambiwa mtatunza familia na kutafuta Kwa jasho,ili siye tuje tule na kuendelea kuzaa.
Aisee, kama unaamini, majukumu yako kama mwanamke ni kuzaa na kula tu, basi safari bado ni ndefu. Ngoja niendelee kusubiria subiria zaidi
 
Kwani
Sina matumizi binafsi?
Sina ndugu wa kuwasaidia?
Sina wazazi wa kuwatunza?
Sina watoto wa kuwamsomesha?
Sina marafiki wa kula nao Bata?

Kwa mlolongo wa majukumu hapo juu sijaiona nafasa ya mwanamke.

Otherwise unambie unazungumzia wanawake in general,

kwamba
mabinti zangu-wanawake
Mama yangu-mwanamke
MKE wangu-mwanamke
Marafiki zangu wa kike-wanawake

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sawa ukiwa na haja wajulishe ili waangalie chakufanya sio umchezee mtoto wawatu
 
Back
Top Bottom