Mwanaume uliye tayari kumpata mchumba njoo usome hapa

Mwanaume uliye tayari kumpata mchumba njoo usome hapa

dedy

Member
Joined
Feb 20, 2018
Posts
25
Reaction score
57
Habari zenu,

naishi kusini mwa Tanzania, natafuta mpenzi ambaye baadae MUNGU ikimpendeza anaweza kuwa mume wangu.
Nina uhitaji sana sana soma wasifu wako na wangu ukiona unaendana karibu.

WASIFU WANGU
Nina umri wa miaka 26.
Elimu yangu ni diploma
Sina mtoto.
Rangi maji ya kunde.
Ni mrefu sio sana
Sina chura #flat.
Mimi ni mkristo Anglican

WASIFU WAKE
Awe mkrito
Sichagui kabila
Awe mwaminifu na mkweli.
Asiwe na majivuno na majigambo.
Asiwe na mke.
Akiwa na mtoto asizidi mmoja.
Asivute sigara
Asiwe mlevi
Elimu anizidi Mimi.
Umri kuanzia 29-35
Awe ameajiriwa hata kujiajiri .
Mwepesi kutoa maamuzi.
SIFA ZINGINE TUTAPEANA PM KARIBU

PM kwa mazungumzo zaidi.
 
Mbona haja sema kama ameajiriwa au amejiajiri ?
 
Nimekidhi vigezo, naapply vipi hii vacancy mkuu.. Pm yako nashindwa kutuma barua ya maombi
 
Mbona haja sema kama ameajiriwa au amejiajiri ?
Okay, mengi siyayaandika hapo pm naweza funguka mengi zaidi, lkn na kwa faida ya wengine pia Mimi nimejiajiri
 
  • Thanks
Reactions: sab
Habari zenu,

naishi kusini mwa Tanzania, natafuta mpenzi ambaye baadae MUNGU ikimpendeza anaweza kuwa mume wangu.
Nina uhitaji sana sana soma wasifu wako na wangu ukiona unaendana karibu.

WASIFU WANGU
Nina umri wa miaka 26.
Elimu yangu ni diploma
Sina mtoto.
Rangi maji ya kunde.
Ni mrefu sio sana
Sina chura #flat.
Mimi ni mkristo Anglican

WASIFU WAKE
Awe mkrito
Sichagui kabila
Awe mwaminifu na mkweli.
Asiwe na majivuno na majigambo.
Asiwe na mke.
Akiwa na mtoto asizidi mmoja.
Asivute sigara
Asiwe mlevi
Elimu anizidi Mimi.
Umri kuanzia 29-35
Awe ameajiriwa hata kujiajiri .
Mwepesi kutoa maamuzi.
SIFA ZINGINE TUTAPEANA PM KARIBU

PM kwa mazungumzo zaidi.
all the best
 
Sasa wewe ata chura auna alaf unaweka mashart kwa taarifa yako utajioa mwenyewe #Jibebe
 
Mnapenda kweli kutupangia eti asiwe mlevi, asivute sigara na awe ameajiriwa au kajiajiri... Nyie mbona huwa hatuwaulizi hayo ma vitu, kwani mnatafta waume, kipato, ajira au sigara zao na pombe
 
Back
Top Bottom