Mwanaume uliye tayari kumpata mchumba njoo usome hapa

Mwanaume uliye tayari kumpata mchumba njoo usome hapa

Hivi kweli unakuja kutafuta mchumba Jf jamani!! Hivi inamaana huko unapokaa watu hawakutongozi au ndo nyie mlikuwa mnaringa sasa maji yamefika ukingoni unaona mambo magumu so unafanya kama sanda kalawe!! Mwenye kupata na apate?? Jiweke vizur huko huko utapata!! Kwanza tuma picha tukuone na usije ukadownload picha google utuletee humu
 
Nimeishia la tatu nikafukuzwa baada yakumbaka mwalimu ila vigezo vingine zote nakidhi ila hilo la elimu tu my dearest naomba unikubalie
 
Nilitaka kuja huko ila umri ndo kikwazo!

Mimi nina 27 natosha ama nikukue kwanza!!!
 
Back
Top Bottom