Mwanaume uliye tayari kumpata mchumba njoo usome hapa

Mwanaume uliye tayari kumpata mchumba njoo usome hapa

Habari zenu,

naishi kusini mwa Tanzania, natafuta mpenzi ambaye baadae MUNGU ikimpendeza anaweza kuwa mume wangu.
Nina uhitaji sana sana soma wasifu wako na wangu ukiona unaendana karibu.

WASIFU WANGU
Nina umri wa miaka 26.
Elimu yangu ni diploma
Sina mtoto.
Rangi maji ya kunde.
Ni mrefu sio sana
Sina chura #flat.
Mimi ni mkristo Anglican


WASIFU WAKE
Awe mkrito
Sichagui kabila
Awe mwaminifu na mkweli.
Asiwe na majivuno na majigambo.
Asiwe na mke.
Akiwa na mtoto asizidi mmoja.
Asivute sigara
Asiwe mlevi
Elimu anizidi Mimi.
Umri kuanzia 29-35
Awe ameajiriwa hata kujiajiri .
Mwepesi kutoa maamuzi.
SIFA ZINGINE TUTAPEANA PM KARIBU


PM kwa mazungumzo zaidi.
Njoo pm tafadhali,tuyajenge ya kiutu-uzima.
Its all about life and economy.

Karibu mamee.
 
Uyo ni zilipendwa na zitaendelea kupendwa na ubahili wake me hoi..sijambo za kuadimikaaa?
Nimeadimika wapi, unauliza mkundu wa nyau huku umeshikilia mkia wake..[emoji16][emoji16] mwambie Ivuga zama zake zimefikia mwisho.

Njoo makutano junction tufanye tukio la uasi, kumng'oa st. Ivuga, anajifanya UKAWA huku chama dume/ccm kimeingia mtaani kwake na wewe kaa UKAWA ufe njaa.
 
Aloishia Lasaba lkn Anapesa za kukupa unachotaka??

Ifike mahali ,Msiingize elimu ktk masuala ya msingi km haya.

Wewe unaolewa na Elimu au unataka mke??

Mimi nitakapooa , Kazi na elimu ya mwanamke ni vyake yeye na familia yake.
 
Maziwa bado saa sita yasije yakawa ndala harafu vigezo ukaweka vingi?
harafu mimi napenda #kikogwa hili nile na chumvi kama na wewe ni #kikogwa fasta nakuja PM
 
Habari zenu,

naishi kusini mwa Tanzania, natafuta mpenzi ambaye baadae MUNGU ikimpendeza anaweza kuwa mume wangu.
Nina uhitaji sana sana soma wasifu wako na wangu ukiona unaendana karibu.

WASIFU WANGU
Nina umri wa miaka 26.
Elimu yangu ni diploma
Sina mtoto.
Rangi maji ya kunde.
Ni mrefu sio sana
Sina chura #flat.
Mimi ni mkristo Anglican


WASIFU WAKE
Awe mkrito
Sichagui kabila
Awe mwaminifu na mkweli.
Asiwe na majivuno na majigambo.
Asiwe na mke.
Akiwa na mtoto asizidi mmoja.
Asivute sigara
Asiwe mlevi
Elimu anizidi Mimi.
Umri kuanzia 29-35
Awe ameajiriwa hata kujiajiri .
Mwepesi kutoa maamuzi.
SIFA ZINGINE TUTAPEANA PM KARIBU


PM kwa mazungumzo zaidi.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
tatzo kwenye elim hapo japo kweli wengine tunaitaji serious kutokana na maumivu tuliyoachiwa tunaona bora tuje mitandaoni lbda tutabahatika
 
Shida hamjibugi mkifuatwa PM.

Nimeishia kuwagonga wake za watu, kisa hamnijibu.
 
Habari zenu,

naishi kusini mwa Tanzania, natafuta mpenzi ambaye baadae MUNGU ikimpendeza anaweza kuwa mume wangu.
Nina uhitaji sana sana soma wasifu wako na wangu ukiona unaendana karibu.

WASIFU WANGU
Nina umri wa miaka 26.
Elimu yangu ni diploma
Sina mtoto.
Rangi maji ya kunde.
Ni mrefu sio sana
Sina chura #flat.
Mimi ni mkristo Anglican


WASIFU WAKE
Awe mkrito
Sichagui kabila
Awe mwaminifu na mkweli.
Asiwe na majivuno na majigambo.
Asiwe na mke.
Akiwa na mtoto asizidi mmoja.
Asivute sigara
Asiwe mlevi
Elimu anizidi Mimi.
Umri kuanzia 29-35
Awe ameajiriwa hata kujiajiri .
Mwepesi kutoa maamuzi.
SIFA ZINGINE TUTAPEANA PM KARIBU


PM kwa mazungumzo zaidi.
Mimi napenda kujigamba hivyo nimekosa sifa
 
Back
Top Bottom