Mwanaume uliye tayari kumpata mchumba njoo usome hapa

mm naomba uende huko unakosali huku tuache na sifa zetu tuendelee tu
 
Dah umri huu unanikosesha 'mtoto' hivi hivi.....!
 
Daaaah! Mimi nina watoto wawili, naomba nikuletee umuue mmoja na umchukue mmoja ili tuendeleee mbele mpnz!!!! Mapenzi matamu kuliko kitu chochote....asikwambie mtu!
 
Hahahaha watu mna maneno.
Kwa hiyo kama hana chura hatakiwi kuwa na vigezo vingi?
Kuna wanawake humu bado wanaishi kwa illusions, hivi huyo angekuwa na chura masharti yangekuwa km ya Mkopo wa World Bank, Kuna mmoja humu aliwahi kuandika vigezo vyake anataka mwanaume mwenye mashine iliyonyoka km 1 hahaaa, vigezo Vngn bhana
 
Finally leo nimedondokea kwenye umri [emoji5][emoji5][emoji5]
Nakuja soon "future ex wife" [emoji6]
 
Mapenzi yana exist popote ulipoo..tembea tembea utapata...usipate stress we bado mdogo
 
Sasa we Huna chura upo flat kama Motorola bapa nan atakuoa humu? yaan Wew hata salamu yangu hutakiwi kuipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…