Mwanaume una mguu laini, unavaa pensi. Unataka tukuelewe vipi?

Mwanaume una mguu laini, unavaa pensi. Unataka tukuelewe vipi?

Hahahahaha. Mwanaume wa kweli niyule mwenye makovu kila sehemu kama alitoka kupigana vita ya pili ya Dunia
 
ahahha mie napenda zile kaptura za khaki !lol !napenda tu ! uzuri hubby anao mguu wa kaptura na hizo nguo ndo zake !sna shaka kwa hilo
Kumbe unatetea kibarua chako.

Sema mleta mada nae hajiamini tu.

Wengine tunamiguu mikavu na nywele ngumu kama steel wire.
Ugoko umekomaa kiasi ukigongwa unatoa unga unga na tunavaa pensi kwa kujiamini tu.

Nifiche nini wakati ndio nimeumbwa hivi?
Wewe umekuwa mwanamke unaficha urembo wako kwenye hijabu kama ilivyoagizwa ktk dini fulani au kama sister wa kikatoliki?

Inferiority complex inakusumbua tu.
 
0d6698acc4416281720a88c029d3e9f6.jpg

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sio kwa huu mguu nimeamua ku screenshot hii kwato
Unanichekesha sana
 
Back
Top Bottom