Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo yote hapana
Kuna mguu hapo umewekwa upo kama mhogo, mwingine kama rungu.... hawa watu leo wameamua kutuvunja mbavu na vitu vya ajabu
Dah hizi rim kibokoGuu lingine hili mungu wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama dereva bodaboda
![]()
Unaujua mguu wa kiume!!! Sio ile ya bia. Mgu wa kiume ule unatengenezwa na mazoezi kama una kigimbi fulani. Huo ndio unavutia. Sio ile ya bia imejazia mie inanikeraga tuhahaha wewe una wivu tu !binafsi mie huwa navutiwa kama mwanaume ana mguu wa pensi umepinda kidogo !awww!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] noma sana huyu akipiga mpira badala uende mbele utapinda kulia utoke kabisa nje ya uwanja
Dah hizi rim kiboko
Gupensi sasa!!!!
Njoo uone vyangu dearNapenda kuangalia miguu yao... Vile vinyweleo mie hooooiii
Njoo uone vyangu dear
Mengine tunamalizana kimya kimya mkuuPost hapa mkuu ndio mahala pendwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mengine tunamalizana kimya kimya mkuu
Dah....kuna wengine sura laini....akiwa dirishani unaweza kumtokea[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12]
Mguu wa mwanaume lazima uwe umekomaa alafu uwe na kovu angalau moja au mbili, usikose nywele, nakuunga mkono mkuu
Kwahiyo huu wangu nao wa kishoga?? Duh
![]()
Samahani chief. Nyumbani Upo mwenyewe?
Mm ni mtaalamu wa psychology huyo jamaa aliyetoa mada ana genes za ki gay.. Na ana mihamko ya kimapenzi na wanaume wenzie huenda yeye hajajijua au tayari ana jijua. Hali hii ina mpa mihamko ya kihisia ya ngono kila aonapo wanaume wenye miguu ya aina hiyo..kwa kifupi msela ana stimulate kila akutanapo na mwnaume mwenye pensi na miguu laini na ndio maana anapay attentions zaidi kwao bila yeye kujijua..Mwanaume kumchunguza mwenzio hadi kwenye miguu dah unapataje muda huo!Una pepo la kina James Delicious likemee kabla halijakutawala!
Kheri kama unacheka..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nacheka san