Mwanaume una mguu laini, unavaa pensi. Unataka tukuelewe vipi?

Mtu hajiumbi, ukikuta mwanaume ana mguu kama wa kike jua kua 'hakujiumba' yeye. Na ukikuta mwanamke ana mguu kama wa kiume jua kua 'hakujiumba'
Ukiwa mimba tumboni kwa mama yako 'hauchagui' aina ya viungo uvipendavyo
 
Ila acheni utani, kuna vikaptula wanaume wa miaka hii wanavaa vinatia aibu. Unkimcheki utadhani kademu. Mwanaume kaptula safi ndefu chini ya magoti na sio ya kubana matako na mapaja! Vinginevyo biashara hio!
 
Mmeanza chokochoko baada ya kuona miguu ya mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…