Mwanaume unakunywaje lite?

Dadako anywe lite na wewe unywe lite?
Shame
Maneno tu hayo hata kwenye kanga yapo.
Unakunywa lite . Uwanaume pesa sio kunywa tupombe tuwili umechoka hela huna.
Bucket 6 za serngeti lite na kitimoto. Mumsap apewe hennessy. Maisha yanaendelea. Sasa midume mmekaza mnakunywa lager eti ni uanaume. Mtakula sasa block na lager zenu.
 
Unapangia watu maisha we jamaa kiazi kweli..
 
Acha kupangia watu maisha Mkuu, kama mtu ananunua Kwa fedha yake na kama mtu anatumia kitu anachojifeel nacho na mwisho si vizuri kupangiana maisha.
Nimechangia hivyo ila Mimi ni mdau wa Ile kitu inaitwa special for decision makers ( konyagi).
Mkuu mnywaji mwenzangu acha kuwanyanyapa hao wenzetu wanaotumia hizi lite kuna kipindi nilikuwa nawashangaa sana wanaume wenzangu wanaotumiag savanna ila nimeshawazoea na kuwakubali .
Kila mtu ana Uhuru wa kunywa kinywaji vile anavyojisikia.
Haiwezekani kupangiana what to like or dislike we are unique
 
Wanaume tunapokunywa lager,
Kimbia jikon ukakae na dada zako...

Kunywa lite ni umama,niliko lite 6 ni buku 10 (promotion),
Safari moja buku 5...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…