Mwanaume unaoa ukiwa bado unaishi kwenu, una akili kweli?

Mwanaume unaoa ukiwa bado unaishi kwenu, una akili kweli?

Bravoozi3

Member
Joined
Dec 12, 2024
Posts
16
Reaction score
40
Hii Gen Z ina mambo mengi sana, ni kawaida kukuta mtoto wa kiume ameoa na bado anaishi kwa wazazi, yani alipo olewa mama yake na yeye analeta demu wake, huku ni kuvunjia heshima wazazi, kama unajijua ni kijana unayesumbuliwa na genye za kipumbavu basi nenda ukapange na sio kumaliza pwiru wako katika himaya ya wazazi wako.
Kenya-FS-Nairobi-04-family-portrait-mother-father-children-outdoor,-Daniel-s-Story,-Jakob-Fuhr.jpg
 
"Mpaka leo Yesu bado yupo nyumbani kwa baba yake, mimi ni nani niondoke nyumbani kwa baba yangu nikapange" alisikika mlevi mmoja.
 
Ndio akili ninazo na hapa mimi na wife hatuhami, mzee nae ampeleke maza kwao, mimi hapa ni kwetu.
 
Wahindi na waarabu ndio wanafanya hivyo, kuoa wakiwa nyumbani kwa wazazi. Na ni mabilionea
 
Back
Top Bottom