Mwanaume unapata wapi ujasiri wa kumuoa Mwanamke mrefu kukuzidi?

Ndo assume sasa wewe una 5’3 sasa utafute wa chini yako atakuaje [emoji28][emoji28][emoji28]

Ukiachana na kujistukia kwa watu, kimo cha 5'3 sio cha kushtua sana ni ufupi normal kabisa.

Ila swala la kusema mtu mwenye kimo hicho atafute wa chini yake itakuwa ni kituko, it's either atafute wa kulingana nae au mwanamke amzidi jamaa kidogo sana (ile tofauti ambayo haijadiliki)

Mtu mwenye kimo hicho kusema atafute mwanamke anaemzidi sana urefu haipendezi, hebu fikiria mwanaume awe anamfikia mabegani mwanamke wakeπŸ˜‚.

NB: Cha kuwatia moyo ni kwamba, kwa hapa Tz wanawake wengi wenye mvuto huwa na kimo cha kawaida kabisa. 5'0 - 5'5 .
 
Kama wewe ni mfupi na unauchukia ufupi then unatakiwa kuoa mwanamke mrefu ili wanao wawe warefu, atleast you will be doing them a favour before they are born.

Now, utaishi vp kwenye relation za hivo ni issue yako, with juhudi binafsi na uchakarikaji, sure you will leave peacefully ith your family.
 
Nakazia ujumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…