Mwanaume unapata wapi ujasiri wa kumuoa Mwanamke mrefu kukuzidi?

Mwanaume ni mwanaume tu, haijalishi kimo chake, labda awe dhaifu tu ktk hali ya kawaida ambayo hata mtu mrefu wapo wenye udhaifu, ila Mwanaume hata akilingana na kile kiti Cha plastic Cha kwenye bar, bado uwezo wake ni wa ajabu wa kiume
 
Nioneshe Couples za Mwanaume Mfupi na Mwanamke mrefu halafu Mwanamke atambe na kumsifia mumewe popote duniani

Nakusubiri hapa
Mc pili pili na mke wake, mkewe kila mara anampost mume wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…