Mwanaume unapata wapi ujasiri wa kumuoa Mwanamke mrefu kukuzidi?

Wanasemaga wanaume wafupi ni good husband material huwa sielewagi kwann

Alafu hapo kwa ft 6 kuendelea juuu sio 2% ni 1% asee bongo andunje ni wengi kupita maelezo 😂😂
Yaani unatafuta kuwa comfortable ili kuwavutia watu? Mimi sioni ufupi Kama Ni tatizo maana Hakuna Mtu amejiumba so huku Tz tunasumbulia na ujinga unatafta vitu ili watu wakuone ni zaidi ya ujinga.
 
Asante sana kwa heshima hii....na kuanzia sasa nitakuwa naitwa...

Dr KikulachoChako........
We Jamaa una Akili Sana Maisha ni kujiamini na Wala sio mwonekano wa nje wa Mtu maana hapa Tz watu wafupi na wenye sura personal ni wengi sana so tukitumia vigezo vya kuhukumu mitazamo ya nje itakuwa bullying hiyo.
 
Hakika ndugu watu wasiojiamini ndio huzalisha uzushi mbali mbali ili kushibisha nafsi zao zilizojaa mashaka na hofu...........

Hofu ni ugonjwa.......
 
Me mfupi ila wanawake wote niliodate nao ni warefu.ni kujiamini tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…