Mwanaume unapata wapi ujasiri wa kumuoa Mwanamke mrefu kukuzidi?

Mwanaume unapata wapi ujasiri wa kumuoa Mwanamke mrefu kukuzidi?

Hamna kitu Kama hicho acheni kuishi katika illusion

Mfano hapa watz 90% wote ni wafupi, na sisi warefu Kuanzia Futi sita hatuzidi hata 2% so kwa mantiki hiyo Hakuna kuoa/ kuolewa
 
Mtoa mada una hoja usikilizwe, mie kiukweli mwanaume naemzidi kimo simtaki sitamuheshimu, na wala hizo couple hazipendezi, home zipo couple kibao za hivyo ila sizielewagi
Sio wewe tu, ingia kwny Opera news za Wazungu sasa....!

Ndio balaa...sijui tulijiumba wenyewe?
 
Sasa tushike lipi urefu mnaotaka ni urefu wa mwili tu au kuna lingne?
 
Hamna kitu Kama hicho acheni kuishi katika illusion

Mfano hapa watz 90% wote ni wafupi, na sisi warefu Kuanzia Futi sita hatuzidi hata 2% so kwa mantiki hiyo Hakuna kuoa/ kuolewa
Wanasemaga wanaume wafupi ni good husband material huwa sielewagi kwann

Alafu hapo kwa ft 6 kuendelea juuu sio 2% ni 1% asee bongo andunje ni wengi kupita maelezo 😂😂
 
Hamna kitu Kama hicho acheni kuishi katika illusion

Mfano hapa watz 90% wote ni wafupi, na sisi warefu Kuanzia Futi sita hatuzidi hata 2% so kwa mantiki hiyo Hakuna kuoa/ kuolewa
Sio kwamba hakuna waliooana. Wapo lakini na Dharau ipo pia katika hizo ndoa

Ungekuwa mfupi ungethibitisha hilo
 
….Neno ume limebeba maana kubwa sana na huenda ikawa ndo code ya uanaume ulipo……namaanisha ni kama mchungaji achungae mifugo,lets say ngedere/nyani akikutana na jinsia ya ke na me reaction yake utaiona tu…

Kiutani tukampa simba ufalme wa msitu…why not twiga au tembo…

Wanaume wanapungua na wanawake wanaongezeka….namaa nje yu mwanaume ndani yu mwanamke…
 
Moja ya hasara kubwa kwa mwanamume ni kutojiamini mbele ya mwanamke na kutojua thamani na maana ya uanamume wake mbele ya mwanamke......

Hakuna mwanamke mwenye ujanja mbele ya mwanamume anayejiamini na kutambua thamani na nafasi yake mbele ya mwanamke hata kama uwe mfupu kama jagi.....
Kuanzia leo wewe nakutunuku udaktari ( doctorate) wa heshima.
 
Back
Top Bottom