The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
It's effect of Marijuana.What's going on here....🤔
Mi nawogopa single mother na sipo tayari kuwasogelea.Yeeeerrrrreeeeh!
Yani inasikitisha sana hii trend siku hizi wanaume tumebaki wachache sana.
Mwanaume unatakiwa kudhibiti hisia na uwoga.
Unakuwa Imara na thabiti kwa kila aina ya changamoto inayokukabili.
Hutakiwi kulia hovyohovyo hadharani misibani huko.
Mwanamme unatakiwa kuwa na kifua siyo mropokaji tu. Ukiminywa kidogo unakuwa ufunuo
Nyau de adriz
Hili nalo nenoogopeni wanawake😎
Sass konda wa bajaj wee unasimama sehemu gani kwenye hiyo bajaj?Mi nawogopa single mother na sipo tayari kuwasogelea.
Mafuta naogopa kujipaka mafuta mwisho miguuni tuUkimwi nauogopa
Jela naogopa
Kifo naogopa
Njaa naogopa
UOGA wa mabaya, huwa ni njia pia ya kujilinda.Mwanaume unatakiwa kudhibiti hisia na uwoga.