Mwanaume unatakiwa kudhibiti hisia na woga

Mwanaume unatakiwa kudhibiti hisia na woga

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
8,082
Reaction score
17,838
Yeeeerrrrreeeeh!

Yani inasikitisha sana hii trend siku hizi wanaume tumebaki wachache sana.

Mwanaume unatakiwa kudhibiti hisia na uwoga.

Unakuwa Imara na thabiti kwa kila aina ya changamoto inayokukabili.

Hutakiwi kulia hovyohovyo hadharani misibani huko.

Mwanamme unatakiwa kuwa na kifua siyo mropokaji tu. Ukiminywa kidogo unakuwa ufunuo

Nyau de adriz
 
Binafsi siogopi chochote hapo ila pia sina sababu ya kujilengesha kwenye hivyo vitu hata kama siviogopi🤔🤔🤔
 
Sio kila hofu ina madhara. Hofu nyingine zitakuokoa na madhara yanayoweza kukupata kwa kujifanya wewe ni jasiri, kumbe ni mpumbavu tu.
Mfano: tunajua maambukizo mengi ya Ukimwi yanatokana na ngono zembe. Kwa hiyo mtu akiamua kuwa mwoga wa kupata maambukizi kizembe- kwa kuacha zinaa. Kwa hiyo hapo uanaume wake unapotea?
Mfano mwingine: Kuhusu jela. Wengi walioko jela ni wahalifu. Ni wachache wameingia huko kwa bahati mbaya. Kwa hiyo watu waishi watakavyo kwa kuvunja sheria, kwa kuwa wana ujasiri wa kipumbavu wa kutokuogopa kwenda jela?
 
Yeeeerrrrreeeeh!

Yani inasikitisha sana hii trend siku hizi wanaume tumebaki wachache sana.

Mwanaume unatakiwa kudhibiti hisia na uwoga.

Unakuwa Imara na thabiti kwa kila aina ya changamoto inayokukabili.

Hutakiwi kulia hovyohovyo hadharani misibani huko.

Mwanamme unatakiwa kuwa na kifua siyo mropokaji tu. Ukiminywa kidogo unakuwa ufunuo

Nyau de adriz
Mi nawogopa single mother na sipo tayari kuwasogelea.
 
Mi nawogopa single mother na sipo tayari kuwasogelea.
Sass konda wa bajaj wee unasimama sehemu gani kwenye hiyo bajaj?

Single maza usiwaogope mwanawane. Mosi, mbususu zao tamu hilo halina ubishi.
Pili, wanajua kucare mzeya utajisikia kama mfalme.
Tatu, anaye mgegeda zaidi ya wewe unamjua so maisha ni murwa. Huna stress za kumsaka mgegedaji mwenzio.
 
Ka wanafatilia tamthilia watapata wapi wazo la kudhibiti hisia na woga?
 
Hujawahi pata anxiety au panic attack. Hapo ndio utajua maana ya uoga. Unajua haugopi kitu lakini ubongo wako haukusikilizi.
 
Back
Top Bottom