Mwanaume unatakiwa ule nini ili utoe shahawa za twins au triplets, Je, kisayansi vyakula gani pia mwanamke inabidi ale

Mwanaume unatakiwa ule nini ili utoe shahawa za twins au triplets, Je, kisayansi vyakula gani pia mwanamke inabidi ale

Waigbo ama yoruba wanazaa mapacha wengi na moja ya chakula wanachokula sana ni viazi vitamu.
Wahindi pia kwa kiwango cha mapacha kipo juu, sijui wanachokila sana sana, sijui ni PILIPILI zile 🤣
 
Yeah nilikuwa na maana hiyo mkuu, asante kwa marekebisho kidogo
Poa kwingine upo sahihi Sana kwa mapacha wasiofanana yaani ovary zote zitoe mayai kwa mara moja (hyper ovulation) na hii uwa inatokea Sana kwa wanawake wanaotumia fertility drugs, dawa za kubusti kizazi! au wanawake wenye umri kuanzia 30+ maana follical stimulating hormone (FSH) huwa inaongezeka kadri muda unavoendelea
 
ndo division one zilizojaa mtaani huku sikuhizi,....🚮🚮
Toa fact ya vyakula na saikolojia ya uzazi achana na elimu za watu hazikusaidii chochote
 
Toa fact ya vyakula na saikolojia ya uzazi achana na elimu za watu hazikusaidii chochote
Umesema una A ya biology,..wapi imeandikwa kuwa chakula au hali fulani ya psychology inachangia kuzaa mapacha?...🚮🚮
 
Pamoja na sababu za kisayansi, binafsi nafikiri pia kuna uhusiano na maswala ya urithi.
Sisi kwetu familia yote tuna watoto mapacha.
Na kabla sijaoa nilikuwa naogopa sana kuwapata watoto mapacha kwa sababu ya historia ya familia yetu. Lakini haikuwezekana nikapata mapacha.
Tunajua kisayansi mwenye uwezo wa kupata mapacha ni mwanamke.
Sasa hii upande wa kiume kwetu inatufikirisha sana.
 
Mimi ninachojua kama unataka kutoa shahawa nzito, unakunywa juice ya Vitunguu majia, vilivyochanganywa na limao unaweka na asali. Unakunywa kwa siku mara mbili asbh na jioni ukizidi yaan mboo inakuwa juuu juu tuu na utajikuta unachafua tu mashuka. mzabzab na Tumwesige senior nitawatengenezea jamani maana nina wapenda kuliko maelezo jaman, Ijumaa nitawapeleka mahali mkale na tufurahi
Tundazuri asante kwa ofa yako,hiyo ijumaa nibebe nini
 
Kuna mfanyakazi wa azam amezaa mapacha wanne.

Madaktari na wanasaikolojia, Mimi na wana jamiiforum wenzangu tumesubscribe uzi na tuna popcorn tayari kusikiliza majibu.

"Kipaumbele changu cha kwanza ni Elimu ,Cha pili ni Elimu na Cha tatu ni Elimu" - Edward Ngoyai Lowassa.
 
Kwahiyo wote wawili ukawatunuku?
Mimi ninachojua kama unataka kutoa shahawa nzito, unakunywa juice ya Vitunguu majia, vilivyochanganywa na limao unaweka na asali. Unakunywa kwa siku mara mbili asbh na jioni ukizidi yaan mboo inakuwa juuu juu tuu na utajikuta unachafua tu mashuka. mzabzab na Tumwesige senior nitawatengenezea jamani maana nina wapenda kuliko maelezo jaman, Ijumaa nitawapeleka mahali mkale na tufurahi
 
Kuna mfanyakazi wa azam amezaa mapacha wanne.

Madaktari na wanasaikolojia, Mimi na wana jamiiforum wenzangu tumesubscribe uzi na tuna popcorn tayari kusikiliza majibu.
Kigezo umri sio mlo fika 40 mwaga mbegu lazima uzalishe triplets
 
Back
Top Bottom