Mwanaume unatoa nyusi?

Mwanaume unatoa nyusi?

Mhh unawasingizia mimi kuondoa nywele za kwapani tuu naona uvivu mkubwa na mashine ninayo sasa mwanaume anaanzaje kukaa chini kukata nyusi
 
Mkuu ni kweli maneno yako ila kuna wengine ukiziacha ni shidaaaa unakua mwili una nywele kama mtoto wa nyaniii hua sipendi kabisaaaaaaaaaaa.
Wingi wa vinyweleo mkuu unatokana na nature ya mwili wako,utagundua kuwa lazima mwili wako uko sensitive katika masuala ya allergy,ku sweat nk ndio maana ukawa na vinyweleo vingi but all in all ni haki yako mkuu
 
acha kusapot ujinga wewe hakuna uhuru bila mipaka vinginevyo ni vurugu, ujinga na matatizo kwa jamii yote, ujinga wako pekeakp utaleta balaa kwa jamii yote. kila nchi ina sheria zake. kwa hiyo we ukitaka uwe shoga basi serikali na jamii isikuchukulie hatua, unaenda ofisi za umma unavaa unavyotaka wewe haiwezekani fuata tamaduni na kanuni zilizopo.
Mkuu,hizo stori za Maadiili na mambo ya kuvaa nguo za heshima kwenye Ofisi za Umma ni moja ya kuwabana Raia wasiwe na uhuru wa kujiamulia....

Uhuru wa kujiamulia ndio serikali za kidiktekta wanauogopa sana ,Nchi ya Tanzania ina zaidi ya watu millioni 50,makabila zaidi 250,kila kabila lina mavavi yake tamaduni zake,haingii maanani kusema kuwa Tanzania ina Tamaduni na kanuni fulani kwa raia wake

Tanzania nafikiri ndio nchi pekee wanamke anahukumiwa kwa alichokivaa,mfano nimeshawahi kumsikia mmoja wa mwanasiasa wa kike ambae yuko katika uongozi wa juu akisema kuwa kutokana na wanawake wanavyovaa ndio sababu ya kubakwa na kufanyiwa mambo mengine ya kihuni na wanaume..😳,...,Ni nchi ambayo mwanamke haruhusiwi na jamii wala serikali kuvaa kile anachoona kinampendeza,..!!

Watu wenye akili wanachukulia hali ya mwanamke kubakwa au kufanyia mambo ya kihuni ni kosa kubwa,na yule ataemfanyia Mwanamke mambo kama hayo,jamii inamuhukumu vibaya sana,wengine hadi kufikia kupewa hukumu ya kifo,watu kama hao huwa wanaitwa "Predator", "Sex Abuser", "Menace to society" nk,Kwa ufupi watu wenye tabia hizo hawaruhusiwi kuchaganyika na jamii ya kistaarabu..lakini Tanzania wanalindwa na jamii

Mkuu,Waafrika wanaoishi katika nchi za chini ya Jangwa la Sahara,yaani wafrika weusi,tunafananishwa na wanyama,wengine wanatuita "Shit hole countries",wana sababu zao,

Mkuu nina mengi ya kuzungumza lakini siwezi kuyazungumza yote hapa,namlizia kwa kusema "Wafrika weusi maamuzi yetu, miongozo yetu,fikra zetu zimejawa na Hisia kuliko uhalisia wa jambo..."..

Umeanza kujibu hoja kwa matusi ili kuwa haina ulazima wa kufanya hivyo,hii ni moja ya sababu watu wengine wasio wafrika hutufananisha watu weusi kutoka Afrika na wanyama,..."weka hakiba ya maneno"
 
Mhh unawasingizia mimi kuondoa nywele za kwapani tuu naona uvivu mkubwa na mashine ninayo sasa mwanaume anaanzaje kukaa chini kukata nyusi
mmmh,mkuu uvivu huo punguza hizo sehemu muhimu sana kusafishwa, huyu mbaba hajaelekea kama shoga ila amekwenda pale anatolewa nyusi na nywele za mwilini ukiwa kama mwanmme sio vizuri tena ana fanya anatoa sauti kama sie lol,mwanamme mzima anashindwa kuvumilia uzi.
 
Habari zenu Waungwana,

Kuna jambo nimeliona jana saloon hata sijapenda, nimekwenda kufanya body wax na kutoa nyusi
kufika namkuta mkaka ameshikilia nyusi lina guna tuu mmh,mmh, hakuishia hapo anafanya waxing mikononi na miguuni, haja elekea kama shoga ila kwa tamaduni zetu za kibongo nimeona sio sawa kabisa, alipomaliza nikamuuliza yule dada huyu mzima yani hatuja mkosaa?

Kasema hua anakuja yeye na rafiki zake kila mwezi kufanyiwa facial na waxing ivi kweli wanaume wengine wamefikia hapo? naelewa akifanya facial ila sio kutoa malaika mwanamme mzima,kama wapo wenye hii tabia jamani acheni sio vizuri sasa mwanamke atoe malaika mwilini na wewe mwanamme utoe kutakua na tofauti gani?

kwa mataifa mengine ni sawa ila kwetu sisi apana idadi ya wanaume sipendi kuona inapungua please ..

wanaume wapo ila MARIJALI ni wachache...
 
ahahha apana mkuu ni vinyele vile vya mwilini hua wanaume wanakua navyo mpaka kwenye kifua ..

SHOGA huyo ..... yaani usitafute jibu lingine la tofauti na hilo...

kuna mila na desturi na sababu za zile nywele kuwepo mwilini.. (kwa mwanaume)

kuna jamaa alizinyoa kifuani mpaka tumboni.. ALIUMWA sana hajarudia tena kuzinyoa
 
mmmh,mkuu uvivu huo punguza hizo sehemu muhimu sana kusafishwa, huyu mbaba hajaelekea kama shoga ila amekwenda pale anatolewa nyusi na nywele za mwilini ukiwa kama mwanmme sio vizuri tena ana fanya anatoa sauti kama sie lol,mwanamme mzima anashindwa kuvumilia uzi.
Uzi unafanyaje tena
 
Dada kama huyo unamchukua unampeleka gereza la wababe akiwa keshajikwatua unawambia jamaa nitakuja kumchukua baada ya saa 6 malizeni kiu zenu.
 
Mkuu,hizo stori za Maadaili na mambo ya kuvaa nguo za heshima kwenye Ofisi za Umma ni moja ya kuwabana Raia wasiwe na uhuru wa kujiamulia....

Uhuru wa kujiamulia ndio serikali za kidiktekta wanauogopa sana ,Nchi ya Tanzania ina zaidi ya watu millioni 50,makabila zaidi 250,kila kabila lina mavavi yake tamaduni zake,haingii maanani kusema kuwa Tanzania ina Tamaduni na kanuni fulani kwa raia wake

Tanzania nafikiri ndio nchi pekee wanamke anahukumiwa kwa alichokivaa,mfano nimeshawahi kumsikia mmoja wa mwanasiasa wa kike ambae yuko katika uongozi wa juu akisema kuwa kutokana na wanawake wanavyovaa ndio sababu ya kubakwa na kufanyiwa mambo mengine ya kihuni na wanaume..😳,...,Ni nchi ambayo mwanamke haruhusiwi na jamii wala serikali kuvaa kile anachoona kinampendeza,..!!

Watu wenye akili wanachukulia hali ya mwanamke kubakwa au kufanyia mambo ya kihuni ni kosa kubwa,na yule ataemfanyia Mwanamke mambo mambo kama hayo,jamii inamuhukumu vibaya sana,wengine hadi kufikia kupewa hukumu ya kifo,watu kama hao huwa wanaitwa "Predator", "Sex Abuser", "Menace to society" nk,Kwa ufupi watu wenye tabia hizo hawaruhusiwi kuchaganyika na jamii ya kistaarabu..lakini Tanzania wanalindwa na jamii

Mkuu,Waafrika wanaoishi katika nchi za chini ya Jangwa la Sahara,yaani wafrika weusi,tunafananishwa na wanyama,wengine wanatuita "Shit hole countries",wana sababu zao,

Mkuu nina mengi ya kuzungumza lakini siwezi kuyazungumza yote hapa,namaliziakwa kusema "Wafrika weusi maamuzi yetu, miongozo yetu,fikra zetu zimejawa na Hisia kuliko uhalisia wa jambo..."..

Umeanza kujibu hoja kwa matusi ili kuwa haina ulazima wa kufanya hivyo,hii ni moja ya sababu watu wengine wasio wafrika hutufananisha watu weusi kutoka Afrika na wanyama,..."weka hakiba ya maneno"
mkuu nimekuelewa sana ila lazima tuangalie athari za uhuru huo, tuige vya maana toka kwa mzungu kam,a vile shule, na bidii sio uvaaji wake ambao lengo lake akuharibu wewe tu kwa manufaa yake. uhuru lazima uwe na mipaka mkuu ili uthibitishe hilo anza na familia yako yaani wanao wavalishe nguo kulingana na matakwa yako au yao hatakam haiendani na jamii halafu utakuja ona
 
Siongelei kuhusu wazungu na uhuru wao feki,unajua wakati huu tulionao nchini Marekani kuna shuke nyengine wanafunzi wa Wamekani weusi hawaruhusiwi kusuka nywele mashuleni...

Watanzania wengi ukizungumzia Uhuru wa kujiamulia wengi wao moja kwa moja wana wanafanananisha na wazungu,uhuru wa kujiamuliani kwa mtu kufanya vile anvyotaka ilimradi kajifanyia mwenyewe bila ya kukera mtu au kvunja sharia ya nchi!!?

Je Tanzania kuna sheria lazima mtanzania avae nguo aina fulani,Familia yangu mke wangu anavaa anavyojisikia,mtoto wangu anavaa anavyojisikia alimradi hatembei uchi barabarani,kwani ni kosa kisheria,...wapuuzi kibao wanamkodolea macho mtoto wangu,wengine wanapiga kelele kama mchizi...

Tanzania ni nchi ya watu wa kushangaa shangaaa,wanasafari kubwa na refu sana mpaka waishi kama binadamu wengine
 
Wanaume wanapenda mambo ya urembo. Kuna wengine utakuta eti na yeye yuko saluni kwa wapaka rangi, anataka kucha zake zipakwe rangi ile colorless
Hata mbuyu ulianza kama mchicha,ukiona hivi ujue mtu huyo anaelekea kuwa gay kamili
 
Back
Top Bottom