KisiwaChaJagwani
Member
- Jun 8, 2016
- 13
- 23
Habari wana JamiiForums,
Napenda kujua kama kuna uwezekano wakwenda mahakamani kudai haki endapo umelea ujauzito mpaka kujifungua kwa mtoto ukiamini ni wako mpaka mtoto anakuwa mkubwa unambiwa mtoto sio wako na baba wa mtoto anakuja kujulikana.
Je, kuna taratibu gani za kupata haki zako za kumtunza huyo mtoto?
Je, kipi kifanyike au unatakiwa uende wapi kupata hiyo haki?