T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Nyinyi ndio masimp wenyewe sasa. Au hapo ulipo unalea mtoto asiye wako unatafuta justification humu.Gharama gani wakati yeye alikuwa amemuoa mama wa mtoto, na mtoto alikuwa kwa mama yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyinyi ndio masimp wenyewe sasa. Au hapo ulipo unalea mtoto asiye wako unatafuta justification humu.Gharama gani wakati yeye alikuwa amemuoa mama wa mtoto, na mtoto alikuwa kwa mama yake.
ndio unayo hiyo hakiHabari wana JamiiForums,
Napenda kujua kama kuna uwezekano wakwenda mahakamani kudai haki endapo umelea ujauzito mpaka kujifungua kwa mtoto ukiamini ni wako mpaka mtoto anakuwa mkubwa unambiwa mtoto sio wako na baba wa mtoto anakuja kujulikana.
Je, kuna taratibu gani za kupata haki zako za kumtunza huyo mtoto?
Je, kipi kifanyike au unatakiwa uende wapi kupata hiyo haki?
Muonyeshe huyo mama wa mtoto uanaume!Habari wana JamiiForums,
Napenda kujua kama kuna uwezekano wakwenda mahakamani kudai haki endapo umelea ujauzito mpaka kujifungua kwa mtoto ukiamini ni wako mpaka mtoto anakuwa mkubwa unambiwa mtoto sio wako na baba wa mtoto anakuja kujulikana.
Je, kuna taratibu gani za kupata haki zako za kumtunza huyo mtoto?
Je, kipi kifanyike au unatakiwa uende wapi kupata hiyo haki?
Habari wana JamiiForums,

Fanya kama sadaka ila pia hata huyo mtoto kama ni mkubwa basi anatambua mchango wako na yawezekana anakuthamini kuliko hata huyo baba yake maana kama mtoto hujamlea bond hamna kiivo.Kwa hiyo usidai chochote wala usijutie yawezekana mbeleni akaja kuwa msaada kwako.Pole sana kakaDuh kwahiyo kama ulimsomesha je hiyo gharama hauwezi kulipwa
fala ni anayebambikiwa, hivi wewe mke akubambikie mtoto halafu asikuone falahuyo.Wewe jamaa ni FALAA sana halafu kwa bahati mbaya hujijui... bila shaka hata elimu yako ni ndogo sana au huna kabisa hata hiyo elimu.
Yaani partenity fraud fidia yake ni mwanaume huyo(muhanga wa utapeli) kuishi na tapeli(partenity fraudster)???
Amavamu umeandika upumbavvu hili kutafuta sifa kwa malaya waliozoea kuwabambikizia wanaume mimba.
mimi siwezi kulea mtoto wa mtu ambae mzazi/wazazi wake bado wanapumua na kujishugulisha kujipatia kipato.Nyinyi ndio masimp wenyewe sasa. Au hapo ulipo unalea mtoto asiye wako unatafuta justification humu.
ni kweli kabisa, na tunavyoongea haya hapa jf wakina dada waliopo kwenye hii forum wanafikiria tunawalenga wao hawawazi kwamba hata sisi tuna ndugu wa kike pia.Ndio maana mimi siku hzi nikiona kijana kakataa mimba au mtoto huwa sikurupuki kumlaumu....maana serikali yenyewe ni kama imewa incetivise wanawake kuwambambikizia wanaume watoto.
Yaani serikali haijali chochote kuhusu mwanaume, lolote baya limkute na jamii bora haijengwi hivi hata siku moja.
Kaka uzuri mimi na wewe ni miongoni mwa wachache tunaofahamu jinsi gani intersexual dynamics kwenye jamii yetu iliyobadilika, ambapo sasa hivi mgogoro wowote wa kimahusiano kati ya mwanamke na mwanaume jinsi unavyojadiliwa kihisia huku wengi wakichagua upande hasa wa mwanamke.ni kweli kabisa, na tunavyoongea haya hapa jf wakina dada waliopo kwenye hii forum wanafikiria tunawalenga wao hawawazi kwamba hata sisi tuna ndugu wa kike pia.
Mimi kuna binti wa ndugu yangu mwaka huu alikua anaingia form 4, likizo ya mwisho wa mwaka jana alirudi nyumbani ana mimba. Alimtaja kijana mmoja ndio muhusika baada ya yule kijana kutafutwa aliikataa ile mimba. Alipewa lawama sana.
Wikiend moja nikamtafuta yule dogo alietajwa na binti kwamba ndio muhusika wa ile mimba. Nikaongea nae kirafiki tu kama kaka ake. Siwezi kusema kwamba sio mimba yake lakini alinifungukia mengi tu na mimi pia kama kaka nikampa nasaha zangu. Mpaka leo sijawahi kuchagua upande kwenye lile suala.
Tunalaumu sana wanaume lakini tunasahau kwamba hawa wanawake sio malaika
Kwanini msiishi na watoto kama ambavyo mngeweza kuishi na watu wengine tu baki?
Hivi vitu tunavyoviacha duniani hivi kilasiku bado hatujifunzi kuwa kilakitu tunachokipigania hakuna hata kimoja tutaenda nacho kaburini
Siku zote wanawake comments zenu huwa zinaudhi sana na zinatia kinyaa kwenye mada kama hizi ambazo zinahusu maswahibu mazito wanayofanyiwa wanaume na wanawake.Nikutie moyo kwamba songa mbele wewe sio wa kwanza,inauma sana ila jikaze yatapita.Anza upya sasa.
SawaSiku zote wanawake comments zenu huwa zinaudhi sana na zinatia kinyaa kwenye mada kama hizi ambazo zinahusu maswahibu mazito wanayofanyiwa wanaume na wanawake.
Yaani siku zote huwa mnatoa majibu na solutions rahisi rahisi tu kwa vile tu jinsia yenu sio inayopitia maumivu.
Mngekuwa mnajua trauma na maumivu anayopitia mwanaume baada ya kulea mtoto kwa miaka 6 akiamini kwamba ni wake halafu ghalfa bini vuu anakuja kugundua sio wake, wala hata msingetoa comment nyepesi kiasi hiki as if ni jambo la kawaida tu....
Hivi mmewahi kujiuliza wale jamaa ambao huwa wanachinja mama na mtoto baada ya kubaini wamebambikiziwa huwa kabla ya hapo wanakuwa kwenye hali gani?... ukishapata taarifa tu kwamba mtoto sio wako kwa mwanaume yeyote lazima achanganyikiwe na hasira za kutosha, sasa kuna wengine hiyi hali huwa wanashindwa kuihandle ndio matokeo yake unashangaa tu amempiga mama shoka la kichwa kisha anamaliza na mtoto, baada ya hapo ndio akili zinamrejea.
Yaani mnasema kabisa eti "kwanin usiishi kama ambavyo ungeishi mtu baki" serious? Subiri siku kaka yako au mwanao wa kiume akibambikiziwa mtoto uje umpe huo ushauri.. na wewe Niwaheri tafuta ndugu yako aliyebambikiziwa mtoto ndio umwambie ajikaze asonge mbele baada ya kulea bao la mtu miaka 5.
Kwenye haya masuala ya mahusiano ukitaka kujua mtazamo wa kweli wa mwanamke msikilize akiwa anamwongelea kaka au mtoto ake wa kiume. Huo ndio wakati ambao mwanamke anaongea ukweli kutoka moyoni, but when they talk about a man from another family always women switch narratives to comfort their interests.Siku zote wanawake comments zenu huwa zinaudhi sana na zinatia kinyaa kwenye mada kama hizi ambazo zinahusu maswahibu mazito wanayofanyiwa wanaume na wanawake.