Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Wanawake wenyewe masikini wanaingia kwenye ndoa kutafuta sehemu ya kuponea, hata ukimshtaki unafikiri atakulipa niniMbona Sheria ipo wazi someni Sheria ya ndoa unayo haki ya kuwafungulia kesi mkeo na huyo mwizi wake ukapata mtaji wa kutosha tu hata bilioni kumi.
Thus ukimfuma mtu na mme/mkeo usimuue huo ni mtaji umekutembelea kavute pesa kwa Sheria ya ugoni.