KisiwaChaJagwani
Member
- Jun 8, 2016
- 13
- 23
Hamna Cha ushauri. Mtoto au mimba sio kitu cha kung'ang'ania kwa Mwanaume.Duhh! Patamu hapo, ngoja kataa ndoa waje kukushauri
Duh kwahiyo kama ulimsomesha je hiyo gharama hauwezi kulipwahio case itakua ngumu na utashindwa .
watafanya DNA test kweli ataonekana mtoto si wako
watakuja kwenye gharama ulizotumia watakosa ushahidi ulionyooka mwishowe watasema mkae myamalize manake kesi numeshindwa tayari
Mzee kulipwa mda wangu na gharama za kumtunza 🙂Unataka haki gani sasa 🤣🤣🤣🤣
Glow upMzee kulipwa mda wangu na gharama za kumtunza 🙂
Habari wana JamiiForums,
Napenda kujua kama kuna uwezekano wakwenda mahakamani kudai haki endapo umelea ujauzito mpaka kujifungua kwa mtoto ukiamini ni wako mpaka mtoto anakuwa mkubwa unambiwa mtoto sio wako na baba wa mtoto anakuja kujulikana.
Je, kuna taratibu gani za kupata haki zako za kumtunza huyo mtoto?
Je, kipi kifanyike au unatakiwa uende wapi kupata hiyo haki?
Sasa umeshajua pasina shaka kwamba ulipigiwa na mtoto sio wako, maana yake kuna mwanaume mwingine alibana tako akamwagia ndani akazaliwa huyo mtoto, halafu bado tu unamng'ang'aniaWanasheria npo wapi maan tupo wengi wenye kesi kama izii ingawa hatuongei
Jobless over stress equal to death ahahahaSasa umeshajua pasina shaka kwamba ulipigiwa na mtoto sio wako, maana yake kuna mwanaume mwingine alibana tako akamwagia ndani akazaliwa huyo mtoto, halafu bado tu unamng'ang'ania
Nadhan Huu ujinga ndo unawafelisha wengi wenu.Ukipotezea utakuwa masta zaidi kuliko kudai. Huo muda wa kufuatilia makesi si ungetumia kutafuta hela
Acha kuongea kijinga Jinga .Sasa umeshajua pasina shaka kwamba ulipigiwa na mtoto sio wako, maana yake kuna mwanaume mwingine alibana tako akamwagia ndani akazaliwa huyo mtoto, halafu bado tu unamng'ang'ania
Sasa baba mzazi atachukuaje mtoto wake bila kujitokeza, Baba mzazi hapangiwi muda wa kujitokeza anaamua yeye,Acha kuongea kijinga Jinga .
Unajua maana ya kuishi na mwanamke anabeba mimba, unalea, anazaa, unalea, unasomesha, mtoto anakua mkubwa, ndo Baba mzazi anajitokeza??.
Hiyo ni tofauti na kujua mwanamke ana mimba ya MTu mwingine, alafu wewe ukaamua kukomaa naye tu.