Mwanaume unaweza kudai haki yako ya kulea mtoto siyo wako ukitambua ana baba mwingine?

Mbona Sheria ipo wazi someni Sheria ya ndoa unayo haki ya kuwafungulia kesi mkeo na huyo mwizi wake ukapata mtaji wa kutosha tu hata bilioni kumi.
Thus ukimfuma mtu na mme/mkeo usimuue huo ni mtaji umekutembelea kavute pesa kwa Sheria ya ugoni.
Wanawake wenyewe masikini wanaingia kwenye ndoa kutafuta sehemu ya kuponea, hata ukimshtaki unafikiri atakulipa nini
 
Kweli kabisa ndugu, hawa watu wanatetea jinsia yao kwenye kila upuuzi mpaka pale ndugu yake anapofanyiwa upuuzi na jinsia yao ndio wanakuwa objective.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…