2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,130
- 4,735
Nimekaa nimejiuliza sana lakini jibu linalokuja kichwani ni tofauti na ninayoyaona mtaani.
Rejea kichwa juu. Una mke/mchumba unaweza kumruhusu asuguliwe miguu na kuoshwa kucha na vijana wanaofanya biashara hiyo?
Una mume/ mchumba unaweza kukubali mumeo akafanye massage (kukandwa kandwa) na muhudumu wa kike? (Kumbuka hukandwi ukiwa na nguo zote) na ikiwa hakuna shida je kidume unaweza kukubali kukandwa na kidume mwenzio ili mkeo akwamini kuwa ni massage tu?
Msimamo wangu mimi nakataa hizo biashara zote full stop sababu zitakuja kwenye koment chini.
Naombeni kuwasilisha
Zaidi soma: Mke wako huwa anaoshwa miguu na kijana wake wa kutengeneza kucha?