Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kila tabia aliyotoka nayo kwao lazima aje nayo kwangu nyingine niza ku cancel hazifai kama hiyoAmetoka kwao na tabia hiyo na anaipenda utafanyaje
Mimi kwangu hizi mambo hamna.Nimekaa nimejiuliza sana lakini jibu linalokuja kichwani ni tofauti na ninayoyaona mtaani.
Rejea kichwa juu. Una mke/mchumba unaweza kumruhusu asuguliwe miguu na kuoshwa kucha na vijana wanaofanya biashara hiyo?
Una mume/ mchumba unaweza kukubali mumeo akafanye massage ( kukandwa kandwa) na muhudumu wa kike?( Kumbuka hukandwi ukiwa na nguo zote) na ikiwa hakuna shida je kidume unaweza kukubali kukandwa na kidume mwenzio ili mkeo akwamini kuwa ni massage tu?
Msimamo wangu mimi nakataa hizo biashara zote full stop sababu zitakuja kwenye koment chini.
Naombeni kuwasilisha
Duh paja linashikwashikwa hapo+nyayo [emoji23][emoji23]
Ukipita kinondoni hospital kama unaenda morocoNawaonaga hapo Morocco Hotel na Mwananyamala A kwa Aman kucha wadada na wanawake walivyojazana najismea tu hiiiiiiiiiii! Wangu aje aniletee ujuaji huo
Hahaha wakati tunakua tukienda likizo pale nyumbani kwa bibi kulikua na jiwe la kusugulia miguu nyumbani, kipande cha gome la mti kwaajili ya kusugulia kucha! Mimi huwa nanunua vifaa nasugua mwenyewe nyumbaniGoodmorning mama D hizi mambo unafanyaga?
Karibu utoe mawazo najua wee ni mwanamke unayejielewa!njoo utupe 1,2,3
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Utahamia huko huko ukafanyiwe kwa muda unaotaka....Kama hataki ajiandae kunifanyia yeye kwa muda nnaotaka.
Kama hataki akubali nikafanyiwe...!😊
Mwanaume si anasuguliwa miguu na mwamke [emoji23][emoji23]Hahaha wakati tunakua tukienda likizo pale nyumbani kwa bibi kulikua na jiwe la kusugulia miguu nyumbani, kipande cha gome la mti kwaajili ya kusugulia kucha! Mimi huwa nanunua vifaa nasugua mwenyewe nyumbani
Siku hizi sio wanawake tuu... hata wanaume wako kwenye foleni za kuoshwa miguu
Haiwezekani mke au gf wako anashikwa upajaa mguu unyayooo [emoji2][emoji2]Hahaha wakati tunakua tukienda likizo pale nyumbani kwa bibi kulikua na jiwe la kusugulia miguu nyumbani, kipande cha gome la mti kwaajili ya kusugulia kucha! Mimi huwa nanunua vifaa nasugua mwenyewe nyumbani
Siku hizi sio wanawake tuu... hata wanaume wako kwenye foleni za kuoshwa miguu