Mwanaume unaweza kukubali mkeo aoshwe miguu na kusuguliwa kucha na vijana wengine?

Mwanaume unaweza kukubali mkeo aoshwe miguu na kusuguliwa kucha na vijana wengine?

Nyie wanawake wa mjini nyie, unashindwa kujisugua miguu mwenyewe?

Semeni tu mnapenda kulegezwa kwa kushikwa nyayo zenu.

Kuna raha ya kusuguliwa miguu akainyoosha vizuri [emoji4]
Tatizo tukiwaachia nyie mfanye hio kazi hamuiwezi vizuri kama wao
Msitumie hasira sana mambo mengine simple tu don’t complicate
 
Waosha kucha na miguu wanawatafuna sana wak zetu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova

Si kweli mnahisi tu

Ilaaa wajanja anaweza kukuosha miguu huku ana kutekenya,mara akupake mafuta taratibuuu,mara akusifie una miguu mizuri[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama una ukame likely atakukula
Jitahidini basi mtufanyie haya mambo nyumbani ili tusione mageni huko kwingine [emoji4]
 
Nawaonaga hapo Morocco Hotel na Mwananyamala A kwa Aman kucha wadada na wanawake walivyojazana najismea tu hiiiiiiiiiii! Wangu aje aniletee ujuaji huo

[emoji23][emoji23][emoji23]sasa utajuaje si anaenda kimya kimya
 
Si kweli mnahisi tu

Ilaaa wajanja anaweza kukuosha miguu huku ana kutekenya,mara akupake mafuta taratibuuu,mara akusifie una miguu mizuri[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama una ukame likely atakukula
Jitahidini basi mtufanyie haya mambo nyumbani ili tusione mageni huko kwingine [emoji4]
Me namruhusu 2...akisuguliwa kwngne ni tabia yake 2 cz unaweza ukamfanyia ww mwenyew kila ktu.. Muuza mboga akapta nae
 
Si kweli mnahisi tu

Ilaaa wajanja anaweza kukuosha miguu huku ana kutekenya,mara akupake mafuta taratibuuu,mara akusifie una miguu mizuri[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama una ukame likely atakukula
Jitahidini basi mtufanyie haya mambo nyumbani ili tusione mageni huko kwingine [emoji4]
Hahahaha
Aise kama mm nlivyokuwa mgonjwa wa miguu
Hapo sijui ingekuwaje[emoji23][emoji23]

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke aliekosa haya akashikwashikwa na mwanaume hadharani niwakutolea ham tu
 
Si kweli mnahisi tu

Ilaaa wajanja anaweza kukuosha miguu huku ana kutekenya,mara akupake mafuta taratibuuu,mara akusifie una miguu mizuri[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama una ukame likely atakukula
Jitahidini basi mtufanyie haya mambo nyumbani ili tusione mageni huko kwingine [emoji4]
Bibi zenu waliishije bila kufanyiwa hivyo
 
Huyo jamaa alimtia tia vidole katikati ya mapaja lazima alishika shavu hapo, mleta mada anatakiwa aweke hizi picha juu huko ili wenye wake zao waone vizuri.
Nina video kabisa lakini inagoma kutuma,,

Hao jamaa wa kupaka kucha anamsuguwa miguu huku anatongoza.

Mwisho wa mchezo ,,mwanamke anajikojolea hapo hapo
 
Mimi niko tayari kwa mambo yote. Tutanunua vifaa vyetu lakini sio kwenda huko

Hapo mbona umeniweza.

Ikifika muda tuu nakuita...

Mahabuubaaaa, unyayoo unaniwasha naomba uje unitekenye kucha huku nang’ata vidole na kurembua macho 😅😅

Ukiwa unanihudumia nakutega mitego kama yote huku nakuimbia nyimbo kemkem za matashtiti 😜😜

K’ Mahaba.
 
Back
Top Bottom