1st AID
JF-Expert Member
- Jul 29, 2014
- 1,079
- 523
Wasaalam,
Huyu ni jamaa wa pili kumfahamu tumefanya nae kazi kwa muda baadae akaamua kupumzika leo naambiwa jamaa yako amejifumua risasi ya kichwa kwa wivu wa mapenzi, kisa kabaini mke wake anamahusiano ya kimapenzi na mfanyakazi mwenzie.
Wa kwanza aliniuma sana maana umri wake na mafanikio yake ndio kwanza yalikuwa yameanza kuchanua, biashara imekubali maisha murua, huyu nae alikunywa sumu baada ya kubaini mkewe tena wenye ndoa ya miaka miwili tu anabanjuka na dereva wake wa dukani.
Bado najiuliza unawezaje kujikatisha maisha kwa wivu wa mapenzi? Hivi wanaume hatuna uvumilivu na maamuzi zaidi ya kujitoa roho?
Nimechoka kabisa.
R.I.P Bro H.