Mwanaume unawezaje kujiua kwa ajili ya wivu wa mapenzi?

Mwanaume unawezaje kujiua kwa ajili ya wivu wa mapenzi?

"Mithali 16:32Ni afadhali mtu mstahimilivu kuliko shujaa, mtu anayeitawala hasira yake kuliko yule autekaye mji."
- Mtu anayeweza kuizuia hasira, mbali na kufanyiwa vitu vya aibu na dharau, maandiko matakatifu yanampa dalaja la juu kupita shujaa, na kupita komandoo. HASIRA, ikikutawala unaishia kujiua.
- Kwa hiyo mtu anayejiua kwa wivu wa mapenzi ni matokeo ya hasira kumtawala. Mungu asaidie tuitawale hasira.
Mkuu asante kwa mchango wako ulio uwakilisha kiroho. Tutajifunza mengi kupitia neno la Bwana.
 
Kweli mapenzi yanauma Sana,Sana, Sana but kujiua ni dhambi kubwa Sana it's hard even to forgive yourself for dat,hata Mungu unakuwa umemkosea manake hukumwamini Kama anaweza kukupa sababu nyingine ya kui- ishia....ila nkifikia hatua hiyo manake huyo mtu kanikosanisha na Mungu wangu,kaniumiza pasipoponeka,na ni ngumu kumsamehe something ambacho kitaninyima raha na amani then itabidi atangulie yeye na washenzi wote waliochangia,I can't die and leave them alive,itabidi twende wote tu....hamna namna,tena kuhakikisha wamezikwa tayari ndo nawafata and the game will be over.
Umeandika mpaka nimeogopa. mkuu ndhani kwa michango mingi tuliyo iona toka kwa wadau wamegusia depression kama ndio kiini cha maamuzi haya, pia wamegusia sana kumshirikisha Mungu na marafiki tunao waamini walau kuwaelezea tutakuwa tumepunguza nguvu ya uibilis huu.

Lakini kuua kabisa dah na hii imekaa vibaya mkuu.
 
Pole sana Mkuu 1st AID. If feels very bad kuwapoteza hao ndugu, Pole sana Mzee. There might be more to it.

''EVERYTHING that happens in the physical, already existed in the Spiritual''
The physical is just a printing/replication of the spiritual realm.
Very few are granted to access the spiritual realms either of The Uncaused Causer 'God Almighty' or the world of the fallen angel 'Lucifer'.

Time has lately not been my good ally, Will shed some more light when time avails on the correlation of what we see and what we don't see (cause, effect, result) on these realms.

Remember the absence of evidence does not justify the evidence of absence

Cheers
Tz.
cc Mr Rocky, everlenk and Karucee


Kaka Tized nafahamu umetingwa na majadiliano ya mkutano wa Mzee Slaa ndio talk of the town, ila naomba uje tu huku utoe ya kiroho hii inakuwaje...nimepata funeral phobia sijui?
 
Last edited by a moderator:
Wasaalam,

Huyu ni jamaa wa pili kumfahamu tumefanya nae kazi kwa muda baadae akaamua kupumzika leo naambiwa jamaa yako amejifumua risasi ya kichwa kwa wivu wa mapenzi, kisa kabaini mke wake anamahusiano ya kimapenzi na mfanyakazi mwenzie.

Wa kwanza aliniuma sana maana umri wake na mafanikio yake ndio kwanza yalikuwa yameanza kuchanua, biashara imekubali maisha murua, huyu nae alikunywa sumu baada ya kubaini mkewe tena wenye ndoa ya miaka miwili tu anabanjuka na dereva wake wa dukani.

Bado najiuliza unawezaje kujikatisha maisha kwa wivu wa mapenzi? Hivi wanaume hatuna uvumilivu na maamuzi zaidi ya kujitoa roho?

Nimechoka kabisa.

R.I.P Bro H.
Duuh
 
Back
Top Bottom