Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Hahaha. Si kuna za jinsi(a) zote lakini?
Nawe unahitaji huo ulinzi shirikishi?teh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha. Si kuna za jinsi(a) zote lakini?
Nawe unahitaji huo ulinzi shirikishi?teh
Kula Tano kaka/dada na LIKE za kutosha. Haya mambo ni magumu sana na hayana majibu mepesi na ya moja kwa moja. Hasira inahusika kwa kiasi kikubwa sana na hekima ikikosekana kidogo tu, matokeo yake ni kuumizana na hata kifo, either kwa msaliti/msalitiwa au hata kwa wote. Kuyumba nako haswa pale unapokosa wa kukusikiliza na kukushauri, loneness is a B!T<H!!!Mi nadhani kikubwa kinakuwa ni hasira na kuyumba kisaikolojia[snapped] vinginevyo mtu akiwa na rafiki mzuri na akawa sio msiri kwenye mambo yanayomtatiza kama hayo ya ndoa mtu hawezi kujiua.
Haya mambo tuyasikie tu kwa watu... never say never, cha muhimu ni kuomba yasikukute!!! Inauma umeangaika kuchangisha hela ya harusi na zingine umekopa afu kuna waluwalu anakugongea bure kabisa, na mke ukiwa nae anajichekesha tu like nothing is going on!!!
mi ningepata dawa za kuondoa true love& wivu hata china ningezifwata faster
Wasaalam,
Huyu ni jamaa wa pili kumfahamu tumefanya nae kazi kwa muda baadae akaamua kupumzika leo naambiwa jamaa yako amejifumua risasi ya kichwa kwa wivu wa mapenzi, kisa kabaini mke wake anamahusiano ya kimapenzi na mfanyakazi mwenzie.
Wa kwanza aliniuma sana maana umri wake na mafanikio yake ndio kwanza yalikuwa yameanza kuchanua, biashara imekubali maisha murua, huyu nae alikunywa sumu baada ya kubaini mkewe tena wenye ndoa ya miaka miwili tu anabanjuka na dereva wake wa dukani.
Bado najiuliza unawezaje kujikatisha maisha kwa wivu wa mapenzi? Hivi wanaume hatuna uvumilivu na maamuzi zaidi ya kujitoa roho?
Nimechoka kabisa.
R.I.P Bro H.
Tuuh nimetemea ndugu yangu, sitaki yanikute lakini, nilitatizika sana.temea mate chini.. kupenda ni jambo lisiloweza kuelezeka. omba mungu yasikupate kwa mtu unayempenda na kumuamini kwa kiasi kikubwa. UNAWEZA KUUA ACHA KUJIUA. YALIWAHI KUNITOKEA LKN NAMSHUKURU MUNGU , ALIWEZESHA MALAIKA WANGU KUNIZUIA SIKUFANYA MADHARA YEYOTE.