Mwanaume unawezaje kujiua kwa ajili ya wivu wa mapenzi?

Mwanaume unawezaje kujiua kwa ajili ya wivu wa mapenzi?

Kweli mapenzi yanauma Sana,Sana, Sana but kujiua ni dhambi kubwa Sana it's hard even to forgive yourself for dat,hata Mungu unakuwa umemkosea manake hukumwamini Kama anaweza kukupa sababu nyingine ya kui- ishia....ila nkifikia hatua hiyo manake huyo mtu kanikosanisha na Mungu wangu,kaniumiza pasipoponeka,na ni ngumu kumsamehe something ambacho kitaninyima raha na amani then itabidi atangulie yeye na washenzi wote waliochangia,I can't die and leave them alive,itabidi twende wote tu....hamna namna,tena kuhakikisha wamezikwa tayari ndo nawafata and the game will be over.
 
"Ooh bebi you are my vampire, suck all my blood" kumbe kuna ma vampire na mazombie mengine nayo yanasuck the blood f*ck
Hahahaha..... Kiongoz Wewe Ni Noma "eti Your My Vampire"
 
Haya mambo tuyasikie tu kwa watu... never say never, cha muhimu ni kuomba yasikukute!!! Inauma umeangaika kuchangisha hela ya harusi na zingine umekopa afu kuna waluwalu anakugongea bure kabisa, na mke ukiwa nae anajichekesha tu like nothing is going on!!!

Kweli ila kwa nini mtu hasira zisiwe after her instead anajiua mwenyewe
 
Kweli mapenzi yanauma Sana,Sana, Sana but kujiua ni dhambi kubwa Sana it's hard even to forgive yourself for dat,hata Mungu unakuwa umemkosea manake hukumwamini Kama anaweza kukupa sababu nyingine ya kui- ishia....ila nkifikia hatua hiyo manake huyo mtu kanikosanisha na Mungu wangu,kaniumiza pasipoponeka,na ni ngumu kumsamehe something ambacho kitaninyima raha na amani then itabidi atangulie yeye na washenzi wote waliochangia,I can't die and leave them alive,itabidi twende wote tu....hamna namna,tena kuhakikisha wamezikwa tayari ndo nawafata and the game will be over.

Kama mna familia watoto inakuwaje manake wivu tu wa kuchapiwa umesababisha tragedy.
 
Kaka Tized nafahamu umetingwa na majadiliano ya mkutano wa Mzee Slaa ndio talk of the town, ila naomba uje tu huku utoe ya kiroho hii inakuwaje...nimepata funeral phobia sijui?
 
Yani sijui niongee na mshana jr ili something yangu isitumiwe
Nifunge mita iwe inanihesabia units lol

We evelyn sikuwezi, maimagination yako tu, yan sipati picha sarakasi unazopiga na maufundi unayoonyeshaga huko.
Ntakutafuta chemba unijuze zaidi

Swala la kujiua kwa kweli mi nashindwa kuliongelea sana...

maana kuna jamaa mmoja alikuwa mchumba wa ndugu yangu..wamedate for a year baadaye wakawa wanaishi mbalimbali kimkoa kwa sababu za kikazi. Siku jamàa anamfata fiance wake ili wamalizie taratibu...dada akawa ameshachange mawazo akamwambia hamtaki tena yeye anaendelea na maisha yake mwenyewe.

Kuambiwa hivyo jamaa si akajiua tena mle mle chumbani mwa dada...bwia mafragyl sindikiza na konyagi akarest in peace
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, fupisha tu kwa kusema kuwa, watu wametofautiana katika uwezo wa kupokea na kuhimili mambo yasiyofurahisha. Kuna mtu anaweza akahimili kitu cha kuumiza kama kuishi na mwanamke anesaliti ndoa na rafiki wa karibu na watu wasijue, wakati hapohapo kuna mtu anaweza kujinyonga kwa kudaiwa deni la sh. Laki 2.
Au kama huo mfano ni mgumu, kuna huu mwingine, kuna mtu anaweza kusikitika kwa miezi sita kutokana na kutukanwa tu kuwa ni m.shenzi n.k Wakati hapohapo kuna mwingine anatukanwa na mtaa mzima kila siku anacheka na kushirikiana na haohao wanaomtukana.
Mkuu nakuunga mkono, hao wenye uwezo mdogo wanahitaji mssada sana.
 
Yani sijui niongee na mshana jr ili something yangu isitumiwe
Nifunge mita iwe inanihesabia units lol

ice_cube_boyz_n_the_hood.jpg

We evelyn sikuwezi, maimagination yako tu, yan sipati picha sarakasi unazopiga na maufundi unayoonyeshaga huko.
Ntakutafuta chemba unijuze zaidi

Swala la kujiua kwa kweli mi nashindwa kuliongelea sana...

maana kuna jamaa mmoja alikuwa mchumba wa ndugu yangu..wamedate for a year baadaye wakawa wanaishi mbalimbali kimkoa kwa sababu za kikazi. Siku jamàa anamfata fiance wake ili wamalizie taratibu...dada akawa ameshachange mawazo akamwambia hamtaki tena yeye anaendelea na maisha yake mwenyewe.

Kuambiwa hivyo jamaa si akajiua tena mle mle chumbani mwa dada...bwia mafragyl sindikiza na konyagi akarest in peace
Dah apumzike kwa amani, hii something between somethings ni hatari inaua eti
 
Ulimbukeni na Kuanza Mapenzi Ukubwani Ndio Tatizo... Kwahiyo nijiue Mimi harafu yeye namuacha aendelea kutafunwa? Aisee Bado kabisaa

Temea mate chini ibra87.
Mambo haya hayana kabila, dini wala rangi.
Akili yako inahamishwa na hasira kaka.
Uwiiiii
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom