Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
Hata sio hela ya harusi yani ukiwaza kale ka moment katamu, afu kuna paka mwingine anapewa....ooohhhh:crying::crying::crying:
Paulo Sergio De Souz naomba picha ya kusindikizia hisia zangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata sio hela ya harusi yani ukiwaza kale ka moment katamu, afu kuna paka mwingine anapewa....ooohhhh:crying::crying::crying:
Paulo Sergio De Souz naomba picha ya kusindikizia hisia zangu
Oooh bebi I am coming with my something something baby I like your legs venye zipo kama chupa ya BALTIKAhahah na "I am comiiiiing" kibao kumbe ndo kwanza anamwaza dereva uko nje!!! mpunguze kufake hizi vitu, mnawapa watu matumaini
Kama jambo halijakukuta usidharau.
Hata kama ndio ujiue na kibaya ameacha watoto watatu last born ana three years.
Oooh bebi I am coming with my something something baby I like your legs venye zipo kama chupa ya BALTIKA
Very touching storyKampnz kangu cha mwanzo ndo kalinifanya nielewe why watu wanaweza kujiua..
Kalikuwa hakana makuu,churchgoer,very kapole,yani maneno kanaongea kwa kuyahesabu
Nilikapenda sana aisee..kalinifanya nisacrifice mambo kibao kwa ajili yake..
Nako kalinipenda sana..Japo ni ngumu kuusemea moyo ila ilo lilikuwa wazi..Kipindi hiki ndo niliamini nn maana ya soulmate..Mana sio kupetipeti kule..Mpaka nikambadili jina na kumwita inventor(wa mapenzi)..
Ila siku nilipomfuma bedi na mshkaji viungo vyote vya mwili vilishangaa..
Nilihisi kuchanganyikiwa..kila mtu nilikuwa namuona mbaya..Nashukuru Mungu shetani hakuwa zamu siku hiyo..Ningefanya maamuzi mabaya sana
Nakubaliana nawe mkuu ingawa wengine wananiambia yakinikuta ndio nitaelewa, ila nadhani pia we need to reserve our trust for issue like this in relationship ili likitokea walau uwe na space kwa ajili ya kufikiria mara mbili kabla ya kuaamua.1st AID
Unapojua thamani yako. Unapojua kwamba wewe ni mtu wa kipekee hakuna kama wewe katika dunia hii, sidhani kama
unaweza kufikia maamuzi kama hayo.
"Ooh bebi you are my vampire, suck all my blood" kumbe kuna ma vampire na mazombie mengine nayo yanasuck the blood f*ck
Nakubaliana nawe mkuu ingawa wengine wananiambia yakinikuta ndio nitaelewa, ila nadhani pia we need to reserve our trust for issue like this in relationship ili likitokea walau uwe na space kwa ajili ya kufikiria mara mbili kabla ya kuaamua.
Hahaha umepinda.
Naomba kujua, maumivu yako mwanamama kwenye hili ni yepi? Ukiondoa kudanganywa.
Wanaua katika hali ya msongo wa mawazo,ubungo unapokua na msongo wa mda mrefu hufikia kushindwa kuhimili, kuna hali zinawapata watu wanajiona hawana thamani na wanafikiria kujiua, hapa wanahitaji ushauri, ukiona mtu mwenye tatizo kubwa jaribu kumpa ushauri na kumtia moyo kabla hajapatwa na matatizo makubwa.