Mwanaume unawezaje kukaa ukweni zaidi ya wiki mbili?

Mwanaume unawezaje kukaa ukweni zaidi ya wiki mbili?

SIjui mila desturi na taratibu za makabila mengine. Ila ukweli hata kama umeoa kwenye familia ya kitajiri kwenda kukaa ukweni zaidi ya wiki mbili aisee unajidhalilisha.

Mzee wangu aliniambia ukikaa ukweni siku mbili zinataosha sana ya tatu unaondoka hii ni kwamba usijue maisha yao na wao wasijue mipango yao. Ukikaa sana ukweni kuna siku utatumwa chumvi dukani uone wanakudharau kumbe mipango yako sio.

Chini ya hili jua kuna wanaume achilia mbali kwenda kusalimia ukweni, wapo ambao wanaishi ukweni. Na hapo mtu anahitaji haishimike. Aisee ukiona unaishi ukweni na mwanamke anakuheshimu wee jamaa hata mbingu ni yako. Nawakilisha.

Tangu Ukabila ufutwe Mila nazo zimefutwa sijui kama unajua Hilo.

Watu Sasa wanaishi kisasa.
Katiba ya nchi ndîo Muongozo na siô Mila na desturi za Zamani za Makabila àmbayo Kwa Sasa hayana umuhimu wowote
 
Ni kweli, ila ujasema unakaa mda ukweni mkuu!

Kûna sababu za Mtu kukaa Ukweni kama zilivyo sababu za Mtu kukaa Nyumbani Kwao licha ya kuwa Mtu mzima.

Hivyo Muda WA kukaa inategemeana

Labda tujadili Kwa hoja Zenye mashiko. Unafikiri ni sababu zîpi kuu zinazokufanya uone Kukaa Ukweni NI JAU?
 
SIjui mila desturi na taratibu za makabila mengine. Ila ukweli hata kama umeoa kwenye familia ya kitajiri kwenda kukaa ukweni zaidi ya wiki mbili aisee unajidhalilisha.

Mzee wangu aliniambia ukikaa ukweni siku mbili zinataosha sana ya tatu unaondoka hii ni kwamba usijue maisha yao na wao wasijue mipango yako. Ukikaa sana ukweni kuna siku utatumwa chumvi dukani uone wanakudharau kumbe mipango yako sio.

Chini ya hili jua kuna wanaume achilia mbali kwenda kusalimia ukweni, wapo ambao wanaishi ukweni. Na hapo mtu anahitaji haishimike. Aisee ukiona unaishi ukweni na mwanamke anakuheshimu wee jamaa hata mbingu ni yako. Nawasilisha.
Tatizo ni wakwe zako, sasa sisi wakwe zetu poa sana, washikaji! Tunatinga kila mwaka, tena hadi likizo iishe!
 
Hongera zako! Ila sijajua jinsia yako mkuu
Mie mwanaume. Sasa mkwe wangu tuna biashara pamoja, na tunafanya mambo mengi pamoja. NI mwaminifu sana, na mchap kazi kweli kweli kwenye miradi tunayofanya pamoja. Sasa ukimfanya mkwe ni mtu wa kukuzalia mke tu, na ukawa na aina ya uhusiano ambao wewe ndio msaada kwa mkwe, unaongea nao mara moja moja wakimpigia simu mkeo na kusema tunaomba tumsalimu, utakaa huko ukweni kufanya nini? Make your inlaws part of your family, and be genuinely happy when you see them.
 
Back
Top Bottom