Mwanaume unawezaje kukataa? Mimi siwezi kukataa!.

Nani anaweza kumkatalia mwanamke?

  • Siwezi kumkatalia mwanamke

    Votes: 7 41.2%
  • Je wewe unaweza?

    Votes: 6 35.3%
  • Vipi ikiwa wao ndo wangekuwa wanatutongoza?

    Votes: 4 23.5%

  • Total voters
    17
  • Poll closed .

yassird200

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2025
Posts
466
Reaction score
813
habari wakuu!. wanaume ! kumbe mungu anaakili sana aisee hiyo jana nimejigundua kama ningekuwa mwanamke basi ningeitwa maharage ya mbeya.. . jana nilibananiswa sehemu tena haikuwa live ila sikuchukua hata dakika ishirini nikawa nimekubali . Sijawahi kupitia changamoto yakutongozwa na mwanamke kiukwel sikuweza kukataa . Mungu awape maisha marefu hawa mama zetu mishangazi.
 
Mawazo kama haya hayaji tu hivi hivi ni mwanzo wakutaka.
kuleft group
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…