yassird200
JF-Expert Member
- Jan 2, 2025
- 466
- 813
habari wakuu!. wanaume ! kumbe mungu anaakili sana aisee hiyo jana nimejigundua kama ningekuwa mwanamke basi ningeitwa maharage ya mbeya.. . jana nilibananiswa sehemu tena haikuwa live ila sikuchukua hata dakika ishirini nikawa nimekubali . Sijawahi kupitia changamoto yakutongozwa na mwanamke kiukwel sikuweza kukataa . Mungu awape maisha marefu hawa mama zetu mishangazi.