Mwanaume unawezaje kulala uchi wa nyama hata kama huyo ulie lala nae ni mke, mchumba au mdogo wako?

Mwanaume unawezaje kulala uchi wa nyama hata kama huyo ulie lala nae ni mke, mchumba au mdogo wako?

Zipo faida nyingi Kwa mtu Kulala bila nguo, nitataja Kwa uchache mfano;

~Hupunguza Kasi ya kuzeeka

~Kupata Usingizi wa kutosha

~Huzuia magonjwa ya ngozi

~Husaidia kupunguza uzito

~Hunogesha tendo la Ndoa,
Muda wowote mwenza wako anaweza kujihudumia, mathalani unaweza kushtuka usiku wa manane Mkeo ameshika maiki na kuanza kuimba, baada ya hapo kifuatacho ITV...

Binafsi nalala bila nguo huu Mwaka wa 5+, niliwahi kuacha Kulala bila nguo baada ya zile stori za Popobawa miaka ile ya elfu 2 😜
Ila usipende kulalia tumbo na kuu-expose mpepe unaweza kuwa compromised na mashetani yakijua umeyatarishia yao msosi,hope you won't say nobody warned me
 
Hama huko kwenye chumba kimoja cha kupanga dogo, tafuta pesa ule maisha
 
Huo ujasiri wa kuchojoa nguo zote hadi za ndani mnautoa wapi na unakoroma kabisa dah aise?

Mmewajazeje ndrugu zangu wanaume?

Na je, ni vizuri au vibaya?🐒
Hiyo kitu ilinishinda hata Kama nalala mwenyewe
 
Ila usipende kulalia tumbo na kuu-expose mpepe unaweza kuwa compromised na mashetani yakijua umeyatarishia yao msosi,hope you won't say nobody warned me
kwan mashetani yapo ya kiume tu ndio ukilala chale uchi yasitamani mshedede?🐒
 
Naona mbunge mtarajiwa umeamua kudiskasi mambo ya uchi...

Anyway, mwanadamu alizaliwa uchi na atarudi kwa Muumba akiwa uchi hivyo hata akilala uchi sio kitu cha ajabu...
sasa gentleman,
hayo mambo si utayakuta kwenye mambo mengineyo kwenye majukwaa mahususi..

yaani jambo muhimu kama hili nimelishuhudia mahali halafu nilinyamazie ili wananchi wangu wanaume muwe katika hatari? Hapana siwezi kukaa kimya hata kidogo gentleman 🐒
 
Chawa wa mama katika one and two😀😀

Kama sio mazingira "yetu" mtu anaweza ila binafsi bila bila hapana, kwanza......
kwanini usiwe huru gentleman 🐒
 
Umemchungulia nani ukayajua yote hayo? Au mlianzaje kuongelea mada ya namna hiyo?
hii sio hoja ya kujadili physically ni hatari mnaweza kuzipiga. Kujadiliana hivi by distance na hatuonani ndio sawa...

Mfano mwingine ni kwamba nilipokua nafanya kazi katika taasisi X jamaa moja alikua akienda washroom kufanya yake iwe ndogo au kubwa Lazima avuo nguo zote azitundike juu ya mlango, unadhani inatokana na nini?🐒
 
Je wewe kwenye kuoga unaoga na nguo zako au unavua zote ? Kama hiyo kanuni yako ni sahihi basi lazima huitumie hata bafuni vinginevyo inakuwa imepoteza maana ...anaye oga uchi kabisa hana tofauti na anaye lala uchi
hiyo ya kuoga nadhani ukiifungulia uzi itapendeza zaidi, mimi nimezungumzia kulala 🐒
 
Huyu mbunge wa jimbo la Hovyo ana mada na hoja zake za kutoka hovyo ni za hovyo kweli kweli 😂

Kulala uchi hapana, nehiii siwezi
mbona una koment hoja kwenye mjadala wa hoja ya hovyo?

nikisema nawe ni kijana wa hovyo nakosea kweli ndrugo zango?🐒
 
Back
Top Bottom