joseph_mbeya
JF-Expert Member
- Nov 20, 2023
- 1,123
- 2,935
Mwanaume wa kweli hawezi fanya huo upuuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila usipende kulalia tumbo na kuu-expose mpepe unaweza kuwa compromised na mashetani yakijua umeyatarishia yao msosi,hope you won't say nobody warned meZipo faida nyingi Kwa mtu Kulala bila nguo, nitataja Kwa uchache mfano;
~Hupunguza Kasi ya kuzeeka
~Kupata Usingizi wa kutosha
~Huzuia magonjwa ya ngozi
~Husaidia kupunguza uzito
~Hunogesha tendo la Ndoa,
Muda wowote mwenza wako anaweza kujihudumia, mathalani unaweza kushtuka usiku wa manane Mkeo ameshika maiki na kuanza kuimba, baada ya hapo kifuatacho ITV...
Binafsi nalala bila nguo huu Mwaka wa 5+, niliwahi kuacha Kulala bila nguo baada ya zile stori za Popobawa miaka ile ya elfu 2 😜
Hata mie nashangaa MTU anafanya mapenzi kavua nguo zote, ni ajabu sana.. inabidi ubaki hata na vest au unaitolea pembezoni mwa boksaHuo ujasiri wa kuchojoa nguo zote hadi za ndani mnautoa wapi na unakoroma kabisa dah aise?
Mmewajazeje ndrugu zangu wanaume?
Na je, ni vizuri au vibaya?🐒
Hiyo kitu ilinishinda hata Kama nalala mwenyeweHuo ujasiri wa kuchojoa nguo zote hadi za ndani mnautoa wapi na unakoroma kabisa dah aise?
Mmewajazeje ndrugu zangu wanaume?
Na je, ni vizuri au vibaya?🐒
Mbona una mawazo ya ki EvilSpirit 😜🙌Ila usipende kulalia tumbo na kuu-expose mpepe unaweza kuwa compromised na mashetani yakijua umeyatarishia yao msosi,hope you won't say nobody warned me
Tujianzieshie sheria yetu mheshimiwakwa sheria ipi?🐒
kwan mashetani yapo ya kiume tu ndio ukilala chale uchi yasitamani mshedede?🐒Ila usipende kulalia tumbo na kuu-expose mpepe unaweza kuwa compromised na mashetani yakijua umeyatarishia yao msosi,hope you won't say nobody warned me
sasa gentleman,Naona mbunge mtarajiwa umeamua kudiskasi mambo ya uchi...
Anyway, mwanadamu alizaliwa uchi na atarudi kwa Muumba akiwa uchi hivyo hata akilala uchi sio kitu cha ajabu...
hii sio hoja ya kujadili physically ni hatari mnaweza kuzipiga. Kujadiliana hivi by distance na hatuonani ndio sawa...Umemchungulia nani ukayajua yote hayo? Au mlianzaje kuongelea mada ya namna hiyo?
hiyo ya kuoga nadhani ukiifungulia uzi itapendeza zaidi, mimi nimezungumzia kulala 🐒Je wewe kwenye kuoga unaoga na nguo zako au unavua zote ? Kama hiyo kanuni yako ni sahihi basi lazima huitumie hata bafuni vinginevyo inakuwa imepoteza maana ...anaye oga uchi kabisa hana tofauti na anaye lala uchi
mbona una koment hoja kwenye mjadala wa hoja ya hovyo?Huyu mbunge wa jimbo la Hovyo ana mada na hoja zake za kutoka hovyo ni za hovyo kweli kweli 😂
Kulala uchi hapana, nehiii siwezi