Mwanaume unnanzaje kusherehekea kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa

Mwanaume unnanzaje kusherehekea kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa

King Jody

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2022
Posts
1,834
Reaction score
3,456
Unakuta mwanaume kabisa tena mtu mzima unaweka status kibao eti kumbukizi ya siku ya kuzaliwa,

'Birthday Party' ni kwa ajili ya wanawake na watoto, mwanaume hupaswi hata kujua kama ulizaliwa.

Nb. uzi tayari :DojaDance:
 
Broo sisi watu maskini hatuna hela tu Mzee ..

Ila kama unapesa ya ziada we fanya tu ...

Ila naamini katika umri huo 40 + utafanyiwa na familia ..

30+ na kuendelea hata mawazo ya birthday yanakuwa hayapo kwa wengi kwasababu ni umri wa pilikapilika...
 
Back
Top Bottom