Mwanaume usiendekeze majukumu

Huu ushauri ni sawa.
 
Tena ni upumbavu uliotukuka, mama yangu aliniambia neno nikiwa mtoto mwanangu ukiwa mkubwa naomba ujipende sisi wanawake hatuna shukrani hata kidogo.
Duh, Kweli malezi yanatofautiana. Kuna wazazi ni vice versa kabisa. Wao ni Tunza watoto wako, mtunze mkeo na MUNGU atakupa mke anayekutunza.
 
Perfume zaid ya 1, alafu unapuliza kwa mbaaali, mtu hakusomi kabisa na hakuelewi umejipulizia ipi
😂
 
Duh, Kweli malezi yanatofautiana. Kuna wazazi ni vice versa kabisa. Wao ni Tunza watoto wako, mtunze mkeo na MUNGU atakupa mke anayekutunza.
Tunza ukiwa unajitunza na wewe, we vaa nguo zenye viraka kisa kupendezesha mkeo.
 
Tunza ukiwa unajitunza na wewe, we vaa nguo zenye viraka kisa kupendezesha mkeo.
Haipaswi kuwa hivi sasa. Mkeo anapaswa kukutunza. Unavaa nguo za viraka akiwa wapi? Mwonekano wako ni jukumu lake. Kama una mke asiyejali mwonekano wako bora kutokuwa na mke.
 
True stori manzi yangu wa kwanza(first x)nlikuwa nikimnunulia kitu mfano viwalo au perfume za gharama alikuwa ananikumbatia Kwa tabasamu mabusu kedekede na mbususu za kuzidi.Ila Kuna siku nikachukua shati tu la buku Saba,na bahati mbaya skuhiyo home walikula dagaa kauzu Kwa kweli nilisemwa sana.Yaani alinisema kishenzi na kunipa lecture kuwa mwanaume hutafuta Kwa ajili ya famili na Sio Kwa ajili yake,yaani nilisemwa kishenzi.Najiuliza wanawake sijui mnatuonaje.
 
Reactions: Cyb
Unachosema ni ukweli mkuu, niliwahi kuwa na girlfriend yule wa njoo tuishi pamoja nikaanza kujikuta ndo head of the family... Pisi ilinikuta braza men navaa napendeza ila baada ya kuwa nayo nikawa natoboa hata mwezi kichwa hakimjui kinyozi, kiufupi nikapoteza nuru kwa kujifanya najua sana majukumu ya head of the family hivyo sihitaji kujipara sana, Jua likanichoma sana rangi yangu ya light skin ikawa Dark and finally nikajaku-realise ya kwamba ni kama nimeshajiaharibu and value yangu ile aliyonipendea yule pisi ishashuka then finally guess what? Akapatikana mwingine anaejipenda nikaachwa mimi matarko nisiejua kujipenda na kujifanya najua kupenda..... Since there nimeanza kujipenda now ratiba yangu ni Kazi,Gym na Kutafuta pa kupolea and I'm on the level ambayo nawaringia sasa.
 
Manzi yako. Kwanza manzi hahudumiwi, anahudumiwa na wazazi wake. Hudumia mkeo hao wengine kama una nyege na yupo tayari kukupa mlipe umle aende zake. Mlipe hata laki ila mara moja, mle aondoke zake rudi kwa mkeo. MANZI AHUDUMIWI, ANALIPWA ATOE NGONO.
 
uliuziwa uchi kwa bei kubwa mno? Tunajifanya wajanja ila wazee wetu kuweka utaratibu wa kuishi na mwanamke hawakuwa wajinga.

Yaani malaya wamekuwa smart sana, anakudanganya muishi pamoja bila utaratibu wa kuhusisha wazee wenu halafu wewe umuhudumie na yeye akupe uchi.

Unafanya Biashara kichaa na malaya bila kujua. Unanunua uchi kwa gharama kubwa mno.
 
Aisee umeongea point. nzuri Sana.Kwa Kweli wanaume tunabe a majukumu mazito Sana Hadi tunajisahau. wenyewe.
 
Hio haiwezi kuwa sawa na changamoto hii inawakumba wanaume wengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…