ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Ukijipenda sana unaitwa selfishKuna mama mmoja msabato anafundisha
"Anasema wanaume tujipende"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukijipenda sana unaitwa selfishKuna mama mmoja msabato anafundisha
"Anasema wanaume tujipende"
Huu ushauri ni sawa.Familia inapaswa kukutunza, wewe ukitafuta yenyewe inakutunza. Mkeo anapaswa kukutunza, mavazi yako, nguo zako, mwonekano wako ni jukumu lake.
Asubuhi akuandalie shati, suruali, viatu. Hata kama umeandaa mwenyewe yeye ana wajibu wa kurekebisha mwonekano wako iwapo upo hovyo, Pesa unayompatia mkeo anapaswa kukumbuka na vishati na visuruali akiwa huko kwenye mihangaiko yake.
Unachonunua ndicho mnachokula wote. Chakula unachopeleka nyumbani, ndicho mke anachopika, ndicho baba anachokula ndicho watoto wanachokula.
Kama inawezekana hata mara moja moja chakula cha mchana mkeo anaweza kukuletea ukala au ukaenda nyumbani. Kama wote ni watu wa kazini mara moja moja pitianeni mkale pamoja popote. Watoto pia wanakula mashuleni mchana hivyo hicho chakula cha mchana kinaliwa mara chache na wote, cha usiku ndo mnakula wote.
KAMA HAIWEZEKANI KUISHI HAYO MAISHA HAKUNA SABABU YA KUFUNGA NDOA, ZAENI MLEE WATOTO. MAISHA GANI HAYO KILA MTU KIVYAKE SAWA TU NA WALIO SINGLE?
Duh, Kweli malezi yanatofautiana. Kuna wazazi ni vice versa kabisa. Wao ni Tunza watoto wako, mtunze mkeo na MUNGU atakupa mke anayekutunza.Tena ni upumbavu uliotukuka, mama yangu aliniambia neno nikiwa mtoto mwanangu ukiwa mkubwa naomba ujipende sisi wanawake hatuna shukrani hata kidogo.
Tunza ukiwa unajitunza na wewe, we vaa nguo zenye viraka kisa kupendezesha mkeo.Duh, Kweli malezi yanatofautiana. Kuna wazazi ni vice versa kabisa. Wao ni Tunza watoto wako, mtunze mkeo na MUNGU atakupa mke anayekutunza.
Haipaswi kuwa hivi sasa. Mkeo anapaswa kukutunza. Unavaa nguo za viraka akiwa wapi? Mwonekano wako ni jukumu lake. Kama una mke asiyejali mwonekano wako bora kutokuwa na mke.Tunza ukiwa unajitunza na wewe, we vaa nguo zenye viraka kisa kupendezesha mkeo.
NarcissistUkijipenda sana unaitwa selfish
DuhKweli wanaume tujikumbuke na sisi, kuna wakati unaangalia kabati lenu la nguo unaona lote limejaa nguo za mwanamke, za kwako chache unaishia kuzitundika kwenye henga
Manzi yako. Kwanza manzi hahudumiwi, anahudumiwa na wazazi wake. Hudumia mkeo hao wengine kama una nyege na yupo tayari kukupa mlipe umle aende zake. Mlipe hata laki ila mara moja, mle aondoke zake rudi kwa mkeo. MANZI AHUDUMIWI, ANALIPWA ATOE NGONO.True stori manzi yangu wa kwanza(first x)nlikuwa nikimnunulia kitu mfano viwalo au perfume za gharama alikuwa ananikumbatia Kwa tabasamu mabusu kedekede na mbususu za kuzidi.Ila Kuna siku nikachukua shati tu la buku Saba,na bahati mbaya skuhiyo home walikula dagaa kauzu Kwa kweli nilisemwa sana.Yaani alinisema kishenzi na kunipa lecture kuwa mwanaume hutafuta Kwa ajili ya famili na Sio Kwa ajili yake,yaani nilisemwa kishenzi.Najiuliza wanawake sijui mnatuonaje.
uliuziwa uchi kwa bei kubwa mno? Tunajifanya wajanja ila wazee wetu kuweka utaratibu wa kuishi na mwanamke hawakuwa wajinga.Unachosema ni ukweli mkuu, niliwahi kuwa na girlfriend yule wa njoo tuishi pamoja nikaanza kujikuta ndo head of the family... Pisi ilinikuta braza men navaa napendeza ila baada ya kuwa nayo nikawa natoboa hata mwezi kichwa hakimjui kinyozi, kiufupi nikapoteza nuru kwa kujifanya najua sana majukumu ya head of the family hivyo sihitaji kujipara sana, Jua likanichoma sana rangi yangu ya light skin ikawa Dark and finally nikajaku-realise ya kwamba ni kama nimeshajiaharibu and value yangu ile aliyonipendea yule pisi ishashuka then finally guess what? Akapatikana mwingine anaejipenda nikaachwa mimi matarko nisiejua kujipenda na kujifanya najua kupenda..... Since there nimeanza kujipenda now ratiba yangu ni Kazi,Gym na Kutafuta pa kupolea and I'm on the level ambayo nawaringia sasa.
Hio haiwezi kuwa sawa na changamoto hii inawakumba wanaume wengi sanaTrue stori manzi yangu wa kwanza(first x)nlikuwa nikimnunulia kitu mfano viwalo au perfume za gharama alikuwa ananikumbatia Kwa tabasamu mabusu kedekede na mbususu za kuzidi.Ila Kuna siku nikachukua shati tu la buku Saba,na bahati mbaya skuhiyo home walikula dagaa kauzu Kwa kweli nilisemwa sana.Yaani alinisema kishenzi na kunipa lecture kuwa mwanaume hutafuta Kwa ajili ya famili na Sio Kwa ajili yake,yaani nilisemwa kishenzi.Najiuliza wanawake sijui mnatuonaje.
NI KWELI KABISA, WATU WANAJISAHAUYaah_mana majukumu hayaishi (mpaka siku utakayo kufa bado kuna mambo utayaacha hujakamilisha