Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna watu watakucheka apa umelia[emoji3][emoji3]
Lakn amin ndugu yangu haupo peke yako wanaliaga sana tu wanaona aibu apa kusema
Aisee, kumbe!Wengine tunawakatalia hatutaki kuwaambukiza ila mtu anang' ang'ania mpaka unaamua umgawie tu na yeye.
Ndio..ukiona mtu anakupenda ila hataki unajiongezaAisee, kumbe!
hahahahahahahaha maninx umenchekesha kimakuKwa mwendo huu hata viwandaa tutaviua tuuu
hahahahahahKiwanda hiko inabidi waziri aje kukifungua. Hongera mkuu
Ahaah sawa.Ndio..ukiona mtu anakupenda ila hataki unajiongeza
Kitaalam tunaita Rato kwa Rato!Sasa unafurahia kumpokonya mwanaume mwenzio mpenziwe, unafikir wewe utakua na security kwake kias hicho? Muosha Huoshwa
Bila shaka wewe ni mwanaume wa ....es salaam
Unampenda una mtamani?imefika mahali hatujui tofauti ya kumpenda mtu na kumtamani
Kama nakuona unavolia.Mlizingatia siku lakini au ndo katoto katakuwa ka jamaa yetu.
Nimecheka saaaaaaaana daaaaKwa mwendo huu hata viwandaa tutaviua tuuu
Japo umetuandikia uzizi kuna kaujumbe Fulani hv
1.Wanawake wana huruma that's why nawapenda
2.Pigania penzi lako hata miaka 10 utapewa kiandazi
Kuna watu watakucheka apa umelia[emoji3][emoji3]
Lakn amin ndugu yangu haupo peke yako wanaliaga sana tu wanaona aibu apa kusema
Kulia mbona kawaida tu,tunalia sana na tunapewa......
Wengine tunawakatalia hatutaki kuwaambukiza ila mtu anang' ang'ania mpaka unaamua umgawie tu na yeye.