Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna watu watakucheka apa umelia[emoji3][emoji3]
Lakn amin ndugu yangu haupo peke yako wanaliaga sana tu wanaona aibu apa kusema
Ujue kuna tofauti kubwa sana ya "KULIA KI KWELI KWELI" na "KULIA KWA MAIGIZO".