Hhahahahahahahahahaaaaa heheheheheheheheee jamaniii looh!!!!
Nacheka utadhani mazuri kumbee...... kweli wanaume mmeumbiwa mateso, endeleeni kuhangaika na kupambana hakuna namna ndo uanaume wenyewe huo. Ila siku nyingine usilie lie tena mbele ya mwanamke.
Kisa chako kimenikumbusha habari yangu iliyokwishanitokea nikiwa bado kigoli. Mtu mbili tofauti zilishanitolea chozi.... mmoja machozi yake yalienda na maji, huyo mwimbine pia machozi yake yalienda na maji na alipoona simuonei huruma akasema basi tuwe kama dada na kaka mie wiki ijayo ntyakuwa na girlfriend mwingine weeh, hapondo nikaachia miguu.... kwisha habari yangu.
Kasie Matata.