Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Asante mama D,
Tatizo tunakimbiza wanaume sisi wenyewe..
Tunadhani baba ni yule anayeleta vitu vya mtoto nyumbani..
Hatuangalii kama mwanaume ana kazi ya kumuingizia kipato ana responsibilities nyingi....
Inabidi tujifunze kupitia hili,
Mwanaume akitaka kuwa involved na malezi ya mwanae tumpe ruhusa,mwenyewe atajiongeza kununua vitu kutokana na uwezo wake..
Tusitumie mtoto kama silaha kupata tunachotaka,
I agree wanaume wengi siku hizi wako irresponsible, inapenda kuzaa tu na kuchepuka...hovyoooooooooo 😡 😡 😡 😡
Ila umuhimu wao upo pale pale,
Watoto waliozaliwa na kujua upendo wa mama na baba, wanakua vizuri kuliko kukosa malezi hayo,kunaleta hasira/resentment ..sishangai watoto waliokataliwa kuendeleza laana hio kwa kukataa watoto na wao wenyewe....
Sishangai baba dai kumkataa mwanae, katika swala linalowasumbua wanaume ni perternity ..sasa mke ndio huyo anaruka mpaka saa nane usiku.....kweli kwa akili ya kawaida, utakubali mtoto ni wako katika mazingira hayo
Pole mzee Abdul, Mungu aliyekupigania siku zote hatakuacha kamwe!