Bi zandile
JF-Expert Member
- Sep 12, 2024
- 301
- 856
Ukifanya wewe inatosha mkuu , tuwakilishe mzee baba 🤣Mwanaume kamati hii...
Ikiwa mpenzi wako ni mzigo kwako, basi haumpendi.
Na ikiwa unampenda, lipa bili. Mtoe out kwa chakula cha jioni angalau mara moja kwa wiki.
Mnunulie losheni, manukato, vipodozi na mavazi mazuri apendeze,mtafutie usafiri mjengee nyumba na umtunze maisha yake yote.
Jifunze kwa mwamba Yakobo..
Huyu mwamba alifanya kazi kwa miaka 14 ili kumpata mrembo Raheli. Na kisha akamfanyia kazi Raheli kwa kumtunza maisha yake yote.
Acha kukwepa majukumu yako man
Acha kukwepa majukumu manUkifanya wewe inatosha mkuu , tuwakilishe mzee baba 🤣
Nyie nendeni mkajitume huko , msahau hadi kutumia wazazi wenu hamsini huko vijijini ! 🤣🤣Acha kukwepa majukumu man
Mwamba umetisha kwa uoga 🤣🤣🤣Hii itakuwa wiki ya nenda kwa usalama kwa wanaume ee!
Nimnunulie losheni kabla ya kuwa naye alikuwa anapaka grisi? hivi Halima mdee nani anamtunza au salama?
Nikikuomba TIGO utanipa kabla sijalipa bills?Na ikiwa unampenda, lipa bili.
Wewe ni Mwanamke au Mwanaume?Mnawafanya wanawake kama vilema aseee
Uliyoelezea kwa uchache ni mambo anafanyiwa mtu asiye na mikono/miguu
Hapana hii ni kubebeshana majukumu yasiyotuhusu kabisa, karne hii ya 50% kwa 50% kila mtu ajitunze mwenyewe, yaani mpenzi tu uhangaike hivyo kah!Mwamba umetisha kwa uoga 🤣🤣🤣
Haswa, wanawake hawa tunaopishana nao kwenye maofisini na kwenye mabiashara mishahara yao wanafanyia washindwe kujinunulia losheni?Mnawafanya wanawake kama vilema aseee
Uliyoelezea kwa uchache ni mambo anafanyiwa mtu asiye na mikono/miguu
Wakiombwa TIGO?mbn niny mkiombwa mechi mnakimbia
Haswa, wanawake hawa tunaopishana nao kwenye maofisini na kwenye mabiashara mishahara yao wanafanyia washindwe kujinunulia losheni?
Aisee msitufanyie hivyo watoto wa wanawake wenzenuAseee! Binafsi huwa nashangazwa na hii misimamo ya kufosi kuhudumiwa
Hapo ukiuliza yeye anatoa nini na nini utashangazwa na majibu yake
Jinsia yako bibie Wewe ni Mwanaume?Aseee! Binafsi huwa nashangazwa na hii misimamo ya kufosi kuhudumiwa
Hapo ukiuliza yeye anatoa nini na nini utashangazwa na majibu yake