mkakaflani
JF-Expert Member
- Sep 30, 2023
- 702
- 2,716
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi ni mentality za kimasikini tu.kiukweli hili swala la kumpa mwanamke pesa ni kama kwangu halipingiki nawaza demu mkali kama uyu nikisipo mpa hela mimi nani ampe sasa
I love this!Haki sawa kwa uhalisia haikuwa kwenye majukumu bali kwenye Elimu na vitu vingine kwamba mtoto wa kike asiachwe nyuma.
Tatizo ni sisi tuliichukulia tofauti.
Ili jamii yetu iendelee lazima tuwekeze katika kuwapa watu kazi kulingana na uwezo bila kuangalia jinsia
Ila hii agenda mnaipush nyinyi na NGO zinawasaidia sana kupush kila siku, ila sasa kuiweka kwenye reality na kuiishi ndipo mnaposhindwa.
Mimi mwanamke akishaanza kuongea 50/50 na kuishupalia na muonea huruma,kwani najua tayari ameshapotea mazima.
mbona unakuwa mkali kwenye style za maisha ya watu binafsi mzeeHizi ni mentality za kimasikini tu.
Za kuuziwa penzi kama bidhaa.
Hivi wewe unaelewa unachoandika kweli!!!? Yaani mmoja awajibike zaidi ya mwingine alafu useme haki sawa!!!?Haki sawa kwa uhalisia haikuwa kwenye majukumu bali kwenye Elimu na vitu vingine kwamba mtoto wa kike asiachwe nyuma.
Tatizo ni sisi tuliichukulia tofauti.
Ili jamii yetu iendelee lazima tuwekeze katika kuwapa watu kazi kulingana na uwezo bila kuangalia jinsia
Hapana,mbona unakuwa mkali kwenye style za maisha ya watu binafsi mzee
Sijaongelea hizo mambo za kumfanya mwanamke awe kama kilema ama mtoto wa kuhudumiwa tu.Umemfanya mwanamke awe ni mtu wa kuhudumiwa kama mtoto, kama kilema, kama mtu asiye na akili.
hapo nimekuelewa mr kirangaHapana,
Sizungumzii style za maisha ya watu binafsi.
Nazungumzia hoja za kifalsafa zilizoletwa JF kujadiliwa.
Style za maisha ya watu binafsi zipo katika maisha yao binafsi. Ukishaleta jambo JF linakuwa limewekwa kwenye "public square" kwa maongezi ya kijamii.
Huwezi kunikuta nimeanzisha maongezi hapa JF kumsema mtu kwa sababu kaamua kumhudumia mpenzi au mke wake, hapo nitakuwa nimemuingilia mtu kwenye mambo yake binafsi.
Lakini, mtu akiweka mada hapa JF naweza kuchangia kifalsafa bila kumuingilia mtu maisha yake binafsi.
Sijui kama umeelewa tofauti.
Abstract thinking si kuingilia maisha ya mtu binafsi
Ukiandika habari za mwanamke kuhudumiwa yeye tu bila ya reciprocity umemfanya kuwa kilema au mtoto.Sijaongelea hizo mambo za kumfanya mwanamke awe kama kilema ama mtoto wa kuhudumiwa tu.
Soma vizuri nilichoandika
Kumpa pesa mpenzi wako si tatizo.hapo nimekuelewa mr kiranga
ila nipo na swali hapa mkononi
kama una mpenzi wako uko naye kwenye mahusiano kwa muda tu
je hutakiwi kumpa pesa akiwa na uhitaji ???
naomba kujua upande wako kwenye swala hilo
asanteKumpa pesa mpenzi wako si tatizo.
Tatizo ni hii hoja ya kumfanya mwanamke ni mtu wa kuhudumiwa tu.
Tatueni matatizo ya umasikini wanawake wapate ajira wawe na kazi waondoe utegemezi.
Laiti wanawake wote wangekuwa na akili Kama zako Joanah Dunia ingekuwa mbali sanaMnawafanya wanawake kama vilema aseee
Uliyoelezea kwa uchache ni mambo anafanyiwa mtu asiye na mikono/miguu
✅Sio kweli 50/50 ni kitu ambayo iko wazi haiwezekani,hii ikifuatwa mwanamke atakuwa na mengi ya kupoteza
Kilichonikaa akilini ni kusaidiana...sio majukumu fulani ni LAZIMA yafanywe na fulani