Mwanaume usikwepe majukumu yako kwa mpenzi wako umpendaye

Mwanaume usikwepe majukumu yako kwa mpenzi wako umpendaye

Eeeeh kumbe Kuna hii "pekeji" na wife hakuniambia ...aisee
 
Mwanaume kamati hii...

Ikiwa mpenzi wako ni mzigo kwako, basi haumpendi.

Na ikiwa unampenda, lipa bili. Mtoe out kwa chakula cha jioni angalau mara moja kwa wiki.

Mnunulie losheni, manukato, vipodozi na mavazi mazuri apendeze,mtafutie usafiri mjengee nyumba na umtunze maisha yake yote.

Jifunze kwa mwamba Yakobo..
Huyu mwamba alifanya kazi kwa miaka 14 ili kumpata mrembo Raheli. Na kisha akamfanyia kazi Raheli kwa kumtunza maisha yake yote.

Acha kukwepa majukumu yako man
karne yakina yakobo unalinganisha na karne ya sasa
 
Wakati huo mama yako anakula tembele kila siku na miguu imeota magamba tuwakilishe mwamba sisi tuko bize na mama zetu
 
Hii itakuwa wiki ya nenda kwa usalama kwa wanaume ee!

Nimnunulie losheni kabla ya kuwa naye alikuwa anapaka grisi? hivi Halima mdee nani anamtunza au salama?
Kwani wee umewaza nn had uwatajee hao? Si wanatunzwa na wanaume wao?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haha
 
Back
Top Bottom