Mwanaume usisikilize ushauri wa mapenzi kutoka kwa mwanamke

Mwanaume usisikilize ushauri wa mapenzi kutoka kwa mwanamke

plan z

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2019
Posts
1,394
Reaction score
1,434
Habari za siku nyingi wadau!

Leo nataka kuwakumbusha wanaume msisikilize ushauri wa mapenzi kutoka kwa mwanamke. Hii ni kwa sababu mwanamke atakushauri kitu ambacho anakipenda yeye lakini kitu hicho hicho ukimfanyia yeye, atapoteza hisia na wewe.

Mfano mwanamke anaweza akakushauri kwamba "ili mwanamke akupende sana unatakiwa umjali sana, umpe muda wako sana na umnunulie kila anachotaka na umpe pesa", lakini ukweli mchungu ni kwamba utakapoanza kumfanyia hayo atakuona huna maana tena. Atahisi kuna kitu anakosa kwenye nafsi yake. Kama huamini jichunguze wewe binafsi wanawake wote uliowaonyesha kuwajali sana na kuwapenda sana leo wako wapi na kama bado upo na mmoja wao nina uhakika asilimia kubwa haufurahii hayo mahusiano au unahisi yupo na wewe kwa sababu ya maslahi.


Kitu unachopaswa kufanya ni kujipenda kwanza wewe mwenyewe, na kama unataka kumjali mwanamke wako, hakikisha kwanza amejitoa kwako pia na usinunue upendo.

Unaweza kuta mtu hata makojozi hujapewa lakini kila kukicha wewe ni kumtoa out, kumpa pesa na kutatua matatizo yake mbalimbali, kisa tu kuna mwanamke kakushauri vitu vya kufanya kwenye mahusiano, au mwanaume aliyepokea ushauri kwa mwanamke kakushauri.

Itapendeza sana kabla ya kuanza kumtoa mwanamke out ambaye hata makojozi hajakupa, ukampima kwa kumwalika kwako ili ujue yupo pamoja na wewe au unaenda kutumika tu. Stop Being Nice

Nina program ambayo nimedhamiria kuwasaidia wanaume ili kurudisha ule uanaume unaotakiwa kwenye jamii. Ukipenda unaweza ukatembelea https://youtube.com/@TheManTM777

Niwatakie jioni njema
 
Sasa makojozi ntayapataje bila kuingia gharama kaka[emoji23]

Au nijirahisishe kwa lishangazi??[emoji23]
 
Back
Top Bottom